Kaka Conradley Inakuaje pale ambapo unakuwa kwenye mahusiano na mtu ambae unampenda sana na unatamani awe future wife but ikitokea ugomvi yeye ndio wa kwanza kukurushia mpira na kujikuta umebeba maumivu ya kosa hilo hata kama either yeye ndio sababu ya wewe kufanya kosa hilo au umekosea tu!...😔
na wakati mwingine even utatafuta njia sahihi ya kuongea nae kwa upole ili kusolve tatizo still bado yeye ataona yeye ndio anadeserve ku'treat'iwa vizuri no matter what.
As Man lazima nijue kwamba Ndoa kuna Ups&Downs and lazima tuwe (Us Vs Problem) sio tugawanyike na kila mmoja acute upande wake...but najikuta naona the way we handle conversation pale panapotokea ugomvi inakuwa na tafsiri ya Speak to Win the Argument sio Speak to Heal and Make things right.
Qn:Ni Nini natakiwa kufanya kwake ili ikitokea tumepishana basi tuwe na lugha nzuri bila kuzidisha ugomvi badala ya kuumaliza.🙏
Help me Out Kaka Conradly, I'm dying inside and i really want to make things ziwe vizuri.😢
2026-06-12 10:01:58
0
user5304405749385 :
🙏🙏
2026-06-12 08:08:44
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.