@marco_msafiri: Mkazi wa Mji wa Mafinga mkoani Iringa, Juma Kisiu ambaye ni mlemavu wa macho na ambaye hivi karibuni alipata msaada kutoka kwa Waziri Mkuu, amesimulia changamoto na mateso anayodai kuyapata kutoka kwa mke wake katika maisha ya kila siku. ccc: Mufindi_media

marco_msafiri
marco_msafiri
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 05:12:56 GMT
34195
714
34
36

Music

Download

Comments

masu27mrtiktok
masu+255 :
mtangazaji uko vizuri kaka hongera
2026-06-12 12:20:07
5
gracekihwili422
Grace Kihwili50 :
mungu amponye
2026-06-12 16:11:45
1
michaeljohn6578
Michael John :
wanawake daaaa
2026-06-12 16:38:35
0
adamkindole209
Adam Kindole :
hatari sana
2026-06-12 10:00:53
2
fadhilimlilo
Anna fadhili :
duuu analoho mbaya sana uyo
2026-06-12 13:01:02
1
lolo.irakoze
Lolo :
Mungu Amsaidie huyu Baba apate kuona
2026-06-12 12:07:06
3
zari.zuberi
Zari Zuberi :
jamani kumbe ndio hii daah asante studio
2026-06-12 14:43:45
0
ashok.kumar.yadv
Ashok Kumar Yadv :
Pole sana muze
2026-06-12 16:25:09
0
esther.mkumbo6
Esther Mkumbo :
pole sana kakangu
2026-06-12 12:20:31
2
lucykaminyoge1
miracle @.🦞🦞🦞.com :
jmn 😭😭
2026-06-12 12:15:40
1
user7357096368843
mamyVAN💖 :
wananzambi. sana
2026-06-12 12:09:20
1
chuma6642
Chuma :
kweli hujafa hujaumbika
2026-06-12 05:58:54
2
suzanachristophe4
Suzana Christopher :
Mungu msamehe huyo mama
2026-06-12 10:18:44
1
dorotheamgonela
Freddy 30m :
daaaMungu akupe wepesi
2026-06-12 11:13:37
1
shamim.ramadhani4
Shamim Ramadhani :
polesana
2026-06-12 14:54:15
0
tedy.isdory
Tedy Isdory :
duh
2026-06-12 14:50:33
0
sakinamaulidi
sakina :
Pole Sana kakaa 😭😭🙏🙏
2026-06-12 13:57:46
0
greegrace0
Grace 🌹 :
Mungu akushike kwa mkono wake wenye nguvu
2026-06-12 13:38:37
0
mamamaiko4
user5455015683363 :
pole
2026-06-12 12:53:55
0
melaniakulaya2
melania81 :
2026-06-12 09:39:15
0
leonardhumo
Leonard Humo :
Duu
2026-06-12 05:55:36
0
user307509182
Julia :
jamani
2026-06-12 10:34:12
0
priyanka53085
mjukuu wa tayari :
kuna watu tumekuwa wanyama sana, asiuze nyumba mwenzake anataka akaishi wapi ahame amwache mbaba wawatu🥺🥺🥺🥺
2026-06-12 12:42:14
1
mariamkanasoni
kanasoni.m :
mi nataka nimsaidie aone tu
2026-06-12 09:44:39
4
sadam.issa97
Sadam Issa :
anaona kwa mbali maana alikwepa shoka
2026-06-12 11:24:35
2
To see more videos from user @marco_msafiri, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About