Na Hapa Maa Askofu ndipo wanapoharibu kusema kwamba mimi ni askofu na ninachosema Ni Hiki.. Hapo Tuh.👀
2026-06-12 11:41:25
6
FungoGB :
Hakuna mtu wa Mungu zaidi ya wapigaji
2026-06-12 16:20:10
1
anduru147 :
sio kweli
anachoongea
2026-06-13 03:58:21
1
Mvaa Andrew :
Acheni haya mambo, yaliishapita kesi hii iliishatolewa hukumu Mahakama Kuu Tabora. Yanaumiza hasa sisi tuliokua watoto sasa ni wakubwa. Huwezi maliza hapa nakujua ukweli mambo yaliotokea. ACHENI ACHENI ACHENI.
MUNGU ANAWAONA.
2026-06-13 15:36:03
0
zainabuleonard310 :
aache kumtii mungu atii askofu? rest in peace our father in the lord kulola
2026-06-14 12:44:38
0
baba Maximilian 🥰🥰👑👑 :
nashukuru sana leo nimemjuah mzeeh mwaisabilah na kabheta hawah waliimbwa kwenye wimbo wa mwansasu ule wa ikitima kikungolah , asante sana stori nzuri na muhimu
2026-06-14 02:56:14
0
pantoprazole :
Kumbe walokolo mmeanza kugombana siku nyingi
2026-06-14 07:11:16
0
Gwakisa@Og :
hii story ilikuwa na mambo mengi sana kama kuna watu wameondoka ulimwenguni bila kutubu mbingu wameiacha duniani Mar.Ask Mwamwenda ni kielelezo cha mambo hayo
2026-06-13 10:46:28
0
A69 :
🥰🥰🥰
2026-06-13 10:43:56
0
To see more videos from user @josemtusita6, please go to the Tikwm
homepage.