@mwanza_phonestore: Mkopo na miujiza yake 😂😂😂 #kenyantiktok🇰🇪 #viraltiktok #fyp

mwanza_phonestore
mwanza_phonestore
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 07:16:48 GMT
110572
6771
398
503

Music

Download

Comments

dear.empire
DEAR EMPIRE :
Mikopo ya bank huwa inamapepo , Ila kunamtu aliniambia kua mkopo wowote wenye riba huwa unamatatizo sikuzote .
2026-06-12 15:42:55
112
hamzakassimmbasha
Abdul anwar :
mikopo imefelisha weng sana
2026-06-12 14:21:49
89
khalidynurdini
mzulu wa TZ,🇹🇿 :
fact bro 💯
2026-06-13 05:51:30
0
calvincalvin2719
calvincalvin2719 :
ukiwa na 40M, usikope mkopo wa 100M... unapokopa hakikisha capital yako ni kubwa kuliko mkopo wako.... ili usije ukalaza watoto stand..😊😊
2026-06-12 14:56:08
73
barbiesally1
Miss Carter :
First of all 😅 Atukukopeshi M100 ukaanze biashara LAZIMA uwe in rotation kwanza nyumba sio kigezo Pekee Cha Kukopea
2026-06-12 13:14:20
42
yurisongoro0
YURI_SONGORO :
Sitaki kabisa kukumbuka aisee maisha ni safari sana
2026-06-12 13:01:47
37
millythebosslady
SWEETHEARTS_VIJORA :
ILA MIKOPO😂💔NDIO MANA IKAITWA MIKOPO NA SIO MICHUPA😎
2026-06-12 17:27:19
21
emmanuelaron7
chrisant j4m35 :
ni kawaida kwenye biashara watu tunakosea ili tujifunze..... usiogopesh watu
2026-06-13 12:09:00
5
salumfahadjr
Salum Fahad Jr :
wanaofeli wengi wanafeli sababu wanakopa na kuingiza pesa kwenye biashara mpya wasioijua
2026-06-12 17:54:06
21
the_one_hair
The_One_hair🌹 :
Gauni zuri sanaa.karibu 🙏
2026-06-12 13:16:32
8
yuuhroyalstore
Baby yuuh 🛍️ :
Mm naonag mtu akiw ameajiriw sehem analipw ml 1 abakiiii ukooukoooo…uku nje biashara zinaleta uchiziiiiii😂lkn ss ukikutaa waajiriwa wanavoona kama wafanyabiashara wanafaidi wanaelaaaaa kumbe hawajui
2026-06-12 10:21:50
17
user13227028500104
user13227028500104 :
unajua lazima uwe na biashara nyingine isaidie iyo unayokwenda kuchukua ,China visaidiane
2026-06-12 09:14:08
10
jen_nifer125
Jen_nifer 🦋❤️🦋 :
ndo maana nilitumiaga hela yangu niko na amani kabisa nipate nikose fresh 😂
2026-06-12 19:04:12
5
nathani.jonathani
NATHANI JONATHANI :
HUWEZI KUMUELEWA KAMA HAYAJAKUKUTA
2026-06-12 13:31:54
5
sally_electrical
Sally :
Jaman jaman🥹🙌🙏
2026-06-12 10:32:54
6
neykoo12
NDIGWA HARDWARE ♐️ :
Me on process….😁😁
2026-06-12 14:25:08
0
simracingx
Rally Addict :
silent ocean hawana baya
2026-06-12 13:02:12
0
pstgideonlukwaya
NAIOTH PUGU :
:the wages of sin is death. Death here is eternal separation from God and that's in hell where sinners will face the full wrath of God.
2026-06-12 20:46:10
0
tob_electronics
TOBE-ELECTRONICS :
bank gan inakupa hela uanze biashara? 😂bank haikukopeshi sababu una nyuma, bank inakukopesha sababu unaitaj ongezeko la pesa mfano mkopp kuanzia 50M lazima auditor aje ajilizishe na taarifa zako za kibiashara ziwepo kuona kama unakidhi regardless una nyumba au huna
2026-06-12 13:02:45
23
kipande.jr4
kipande JR :
alafu mkopo sijuw kwanini inakuwa kama wachaw mambo yakianza kufel ndio wanakuja wanaume mademu uwaon kuna boss wangu aliniuzia Pikipik laki mbili oya mikopo noma
2026-06-12 10:37:31
8
user3497132777488
user3497132777488 :
hukopi mkopo kuanzisha biashara brother unakopa kupanua biashara.
2026-06-12 13:24:07
9
user4584671995102
jack umeme :
biashar mzuri kusimulia,fanya sasa
2026-06-13 17:42:19
1
user6544077035428
Charlie Gypsum Design.tz :
mfano nikasema nikachukue mkopo million 20. siku simba au yanga anacheza na kitimu chochote kile kdg hapa tz. afu nikaweka hyo ela yote hata kama yanga kapewa old 1.50 maana yake apo nikila nakuwa na milioni 30. nawaludishia 20 yao mi naendelea na maisha yangu kwan haiwezekan au nazngua
2026-06-12 22:44:14
0
nyarombofashion
NYAROMBO :
kabisa kaka
2026-06-12 15:00:23
2
To see more videos from user @mwanza_phonestore, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About