@emeralds_baruan: Usiruhusu ukosefu wa mtaji uwe sababu ya kutokuanza. Wakati mwingine mtaji mkubwa unaouhitaji siyo pesa, bali ni ujuzi, uthubutu na uamuzi wa kuanza. Kati ya hizi biashara 5, ni ipi ungeweza kuanza leo? 👇🏽 Kama unahitaji kujifunza zaidi kuhusu biashara, kuongeza kipato na kujenga direction sahihi ya kifedha, nitumie ujumbe WhatsApp. 📩 WhatsApp: 0746595912 Tuanze safari ya kujenga maisha na kipato bora pamoja. 🤍💰#business #TheVoiceOfEmeralds #SelfGrowth #fyp

emeralds_baruan
emeralds_baruan
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 08:01:51 GMT
4085
220
1
5

Music

Download

Comments

titliy88
Mrs.Lemsa 🥰 :
1 naweza
2026-06-13 06:17:58
0
To see more videos from user @emeralds_baruan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About