Mimi harmonize Big UP kongo 🇨🇩 wananiita tembo jeshi
2026-06-15 10:00:23
5
Dieu merci masamba ndontoni :
félicitations mon vieux vizuri saana
2026-06-15 08:43:37
3
sabato yona :
hiyo song kipind inatoka ilikuwa kama faraja nikiwa na majonz big up harmonize unaweza mziki brother ww unaimba sio poa ila huwa sipend umuongelee Simba .Simba ni Simba 2 nataman uwe mjanja kuwajibu media wakiwa wanakuhoji usiwajibu bila kufikiria kipi wanataka .hao media wanapenda kuandika title ya uchonganishi uonekane haumpendi Simba 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰