@steve.champion17: Kwanini wimbo wa Tanzania unafanana na Africa Kusini 🙌🏿.

Steve Champion17
Steve Champion17
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 08:35:08 GMT
71930
4784
46
74

Music

Download

Comments

ibrakadabra12
Ibrakadabra :
🇹🇿Tanzania Zambia 🇿🇲 na South Africa 🇿🇦 ndizo nyimbo zinazofanana na mtunzi wa wa hizo nyimbo ni mmoja tu
2026-06-12 12:14:49
33
maneh10jr7
user3547625003282 :
sio sauz tu hata na Zambia the same
2026-06-12 11:15:12
10
gilbertpancebow
MWAISA PHONE AND SPARE PARTS :
mbona kitambo na inajulikana
2026-06-12 08:53:31
11
fadhilabel0
Fadhil Abel :
duuu napenda sauti yako broo
2026-06-12 17:22:04
1
ruge136
Lube official@ :
Ata wa zambia unafanana na Bongo
2026-06-12 15:28:37
3
damanga93
BeboJ@💋💞 :
nilijiulizaa sikupata jibu wacha nisome comment 😁
2026-06-12 19:27:17
2
user8563751491700
meda :
aliyetunga hizo nyimbo alikuwa mtu mmoja anaitwa enoch sontonga
2026-06-12 19:01:57
2
mjuaji_org
MJUAJI org_ :
Na hata wa Zambia melody ile ile
2026-06-12 08:48:28
9
user5252637197087
josephmartin :
namimi hapo jana nilishangaa sana
2026-06-12 14:12:17
3
samumtotowanzega3
Samu Mtoto wa Tabora :
Nani kamuiga mwenzie
2026-06-12 19:04:23
2
user6374780545168
Brizzy boy 87 :
walifanya kitendo cha kukopi na kupest
2026-06-12 18:32:41
2
mr.alex4265
Mr.Alex :
na wao wakipe kipaumbele kiswahili kama sisi
2026-06-12 14:30:35
3
laurentfaraji
Loui voice :
mtunz ni mmoja anaitwa Enoch Sontonga
2026-06-12 13:31:10
3
user2098104910981
Lazarus :
unajua kak
2026-06-12 15:40:25
2
kassim_0047
kassim mohamed :
ni Kwa 7bu maraisi wetu walipendana sana
2026-06-12 14:09:27
2
eradiusemmanuel62
Baba queen 👸 🫂🫀 :
tena jana tumejihlz sana
2026-06-12 12:49:25
3
artists074
Kisanduku tz :
Kwahyo wee ndo umeusikia jana au
2026-06-12 14:46:23
3
penuelmunuo675
penuu😎😎 :
huu wimbo ulikuwag ni kwaya
2026-06-12 14:11:31
2
rashidu.hamada
Rashidu Hamada :
kaka kwa heshima naomba moja kwa ajili ya Di mariya
2026-06-12 08:43:12
7
charesimaduhu
Charesi Maduhu :
buraza. naombanasi. tunaoajibika. kamaguzo. yafamilia. badayakupoteza. wazazi. wetu. kaka
2026-06-12 13:13:41
3
visssar7
vissarionovich' :
mulize enock sotonga
2026-06-12 13:16:55
2
ephans4
Ephan's :
mtunzi alikuwah mmojah
2026-06-12 13:22:37
2
alfayo.superboy
super boy :
nakubali kaka
2026-06-12 10:18:36
1
suzy_joseph
user2224932204925 :
Alietunga
2026-06-12 09:45:51
2
gregoryjames436
Gregory James :
kama unafuatilia vizur historia baada ya uhuru wimbo wa taifa la Tanzania mtunzi wake alitokea SOUTH AFRICA
2026-06-12 13:56:11
2
To see more videos from user @steve.champion17, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About