Nipo kwenye ndoa miaka 7 nina watoto 2 lakin mme wangu ana watoto 3 wa nnje na siwezi kuwachukia sema nadili na wazazi wa uyo watoto
2026-06-14 06:01:37
0
jumamajali0 :
unaaakili sana wewe
2026-06-12 12:08:35
0
suzan samwel :
Ilakwelijamani
2026-06-12 17:16:11
0
mamu :
hata mm hua najiulza sana
2026-06-12 10:00:24
2
Farhiya :
yaani mimi mtoto kanizoea kuliko mama yake mzazi nimekaa naye toka ana miaka 3 sasa hv yupo la 6 Alhamdulillah nina watoto wa3 na huyo wa4 lakini ukifika kwangu huoni tofauti yoyote
2026-06-13 13:34:46
9
Nasrah💞💞 :
ni kuomba2 yasikukute basi mengine yaache
2026-06-12 19:08:01
3
precious 💞 :
umenisanua Sasa soon ntakuwa mjanee😁
2026-06-12 09:53:31
0
Mss.Irene🌹 :
Ongea usimalize binti 😅
2026-06-14 14:48:50
1
Najma Mswadiku :
Siwezi kumchukia mtoto kwa sababu ya zambi za wazazi wao
2026-06-14 05:59:51
1
💃😘 :
Nasemaje 🤐
2026-06-14 00:19:27
0
Givenchy Lee💗🩵🧸 :
Yanii yeye Ndio sabab y maumivuuu
2026-06-13 19:58:14
0
momking05 :
Mm naishi naye vizuri tu na nipo naye hapa kitandani tumelala sina hata shida naye
2026-06-14 20:08:12
0
To see more videos from user @msfetty198, please go to the Tikwm
homepage.