@edwintouches: Mnapakumbuka hapa? . Mwanza kuna maeneo kibao ya bata, sema mmekalili maeneo yenu city center. Ila huko pembeni ya mji kuna machimbo ukizamia weekend unarudi mjini akili mpya. . Swimming pool ipo on final touches, according to manager. Next post nitawa-update kuhusu misosi, vinywaji, usafiri na rooms zao. . Umeona hiyo lake sunset view? Kudadadeki! . 🎥 @edwintouches . #Mwanza #Lakevictoria #tanzaniatiktok #Hideoutmwanza #creatorsearchinsights
edwintouches
Region: TZ
Friday 12 June 2026 09:47:44 GMT
Music
Download
Comments
user5161624811673 :
pameshaanza kazi
2026-06-12 14:55:02
3
Micky Jones :
nani yupo free twende kesho
2026-06-12 19:30:59
7
msouthafrica :
pasha ipo sehemu gani
2026-06-13 08:51:15
3
🧸glory7007🦋 :
Na hapo kuna picha za sun set kari 🙌🔥 sema mie nilienda pool lilikuwa halijawekwa maji🥹
2026-06-12 18:26:00
7
it’s sally🌸 :
Jmn sipajui mtu twende wote🥺😂
2026-06-12 17:59:38
6
phyna lome :
ipo sehem gani
2026-06-27 10:25:24
0
So_So🌸 :
woyoo nilikuwa nasubiri swimming 😂😂😂
2026-06-13 19:03:01
1
Tvan cute 🎀🦋✨ :
weekend nipooh 😋😍😍
2026-06-17 08:41:06
0
ifahnchams8😂🏜️🌹 :
final touches....so lakini si watu wanaweza kuswim
2026-06-14 07:23:08
1
Edgirl😍 :
Kiingilio shingap
2026-08-10 11:27:08
0
S..pcee..99...4...life :
mwanza bwiru 👍🔥🔥
2026-06-13 19:44:27
2
JbL cactus 🍀 :
mapema😂
2026-06-13 17:01:08
1
Gonga ☘️🇹🇿🥂🇨🇩 :
$Kam pamekamilikiiii mbn kesho nakuj apoo....mapemaa mnoooo...🤣♥️
2026-06-12 17:12:52
5
Lucky #🦋💎💅G :
Kesho inshallah nifike
2026-06-13 16:31:49
1
⚜️Fayrah🇬🇭💫 :
Mwanza sehem gani
2026-06-13 13:11:08
1
lr🌀 :
ndo nakuja sasa
2026-06-15 02:04:42
0
young khabi lame :
nani yupo free twende 😅😅
2026-06-15 04:16:34
0
The Shoes 👠 :
kiingilio shingap?
2026-06-19 18:43:13
1
rodajaphet :
wanzigua
2026-06-26 15:19:53
1
Triple J🫰💫✨ :
mwanza
2026-06-23 15:18:29
1
raano 💫 :
sehemu gn apo
2026-06-12 11:04:39
3
peter nayubuha :
Kwa kulala bei
2026-06-13 14:26:03
1
~JAXXIE.~ :
wapi
2026-06-12 09:58:12
2
Tisakay :
Is this in dar Les salaam if yes what’s the name of the place
2026-06-13 11:27:13
3
saraphina :
hapa sipasha hapa
2026-06-12 20:00:27
4
To see more videos from user @edwintouches, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.