@grstore_60: *CRYSTAL TABLE LAMP* Nyumba nzuri inahitaji mwanga mzuri💡 Hakikisha unaongeza mvuto wa mwanga wa kifahari nyumbani au Ofisini. Muonekano wa kisasa na kifahari, mwanga mzuri wa kuvutia PRICE *20,000* . #viralvideotiktok #viraltanzania🇹🇿tiktok