@kiungomedia: Mkali wa mistari Darassa ameungana na Gnakko kwenye ngoma yao mpya, lakini sote tunajua uwezo wa CMG akishika maiki. Hebu twendeni sawa kwenye comment baada ya kuisikiliza hii clip, Je, Darassa ameuwa kama kawaida yake au kuna mahali ameteleza kwenye hii ngoma? Acha ushabiki, dondosha ukweli wako #darassa #gnako #kiungomedia #trendingtanzania🇹🇿 #tiktokviral
Kiungo Media
Region: TZ
Friday 12 June 2026 10:18:00 GMT
Music
Download
Comments
samssoa :
mtu hatari darassa ni moja CMG
2026-06-12 16:10:15
4
JB MAP Bertin :
rayvanny ft darasa
2026-06-12 12:03:51
4
Shmurda Man :
kauwa ila brother G alivyoingia🙌🙌.
master chorus👑🙌
2026-06-12 16:30:44
0
Geor Maleko :
Bantanyau Darasa Long time Salute
2026-06-12 20:37:46
0
IMMA SMART WELDING :
usisikilize ,,, huto elewa ,, ila elewa utasikiliza mara kadhaa na utaipenda🙏
2026-06-12 16:43:02
0
Kiungo Media :
Gnako & Darassa
2026-06-12 10:20:49
2
DARUWESHI😎 :
moja kama mia
2026-06-12 18:50:08
0
mbadi boy :
oya na kisukuma kimooo
2026-06-12 19:50:58
0
mickdadiddy :
wimbo unaitwaje
2026-06-12 19:40:00
0
izzoh💪😜 :
oyaah uyu n mbaya zad ya mbay
2026-06-12 20:06:55
1
youxoufgoa :
na uyu Darassa alikuwa amepotelea wapi I say🔥🔥
2026-06-12 19:14:55
0
mtu_mweuc⚡⚡📸 :
km jina lake tu🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-12 20:48:49
0
chausa deadly🍀🍀19.11 :
fundi darassa🔥🔥
2026-06-12 19:03:48
0
Gabriel haule :
Atali 🤔🤔🤔
2026-06-12 16:49:21
0
Bobo khan :
🔥🔥🔥
2026-06-12 11:30:05
1
Hemedy :
🔥🔥🔥
2026-06-12 16:14:51
0
Monga tz 11 :
😂😂😂
2026-06-12 16:24:32
0
To see more videos from user @kiungomedia, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.