@ashmar_quotes: SUBHANALLAH🥺🥹. Assalaamu Alaykum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Kwa mwendelezo wa programu mbalimbali zinazoletwa kwenu na FAZULMAR AID FOUNDATION, bado tunaendelea kuhimiza kheri, usafi na mshikamano wa Ummah kupitia mradi wetu muhimu wa "Ndala Msikitini", ambao unalenga kuweka ndala mpya pamoja na vifaa vya usafi kwa ajili ya kutunza mazingira ya misikiti yetu na kuhakikisha usafi unaimarishwa katika nyumba za Allah. Allah (Subhaanahu Wa Ta'ala) anasema: ﴿وَأَنفِقُوا مِن مَّا رَزَقْنَاكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَ أَحَدَكُمُ الْمَوْتُ﴾ "Na toeni katika yale tuliyokuruzukuni kabla hayajamfikia mmoja wenu mauti." (Qur'an 63:10) Pia Mtume ﷺ amesema: "مَا نَقَصَتْ صَدَقَةٌ مِنْ مَالٍ" "Sadaka haipunguzi mali." (Imepokewa na Muslim) Na Allah (Subhaanahu Wa Ta'ala) amesema: ﴿مَن جَاءَ بِالْحَسَنَةِ فَلَهُ عَشْرُ أَمْثَالِهَا﴾ "Atakayefanya jema atalipwa mfano wake mara kumi." (Qur'an 6:160) Tunakuhamasisha kushiriki katika kheri hii kwa kuchangia kupitia namba rasmi za taasisi: 📱 M-Pesa: +255 798 317 948 (JINA: ASHA HUSSEIN) 📱 Airtel Money: +255 664 557 948 (JINA: OMAR ALI) 📱 HaloPesa: +255 622 446 173 (JINA: AGNES JOSEPH) Mchango wako unaweza kuwa sababu ya kupata ujira unaoendelea mbele ya Allah, huku ukichangia usafi na utunzaji wa misikiti yetu. Sambaza ujumbe huu kwa wengine ili nao washiriki katika kheri hii na wapate fursa ya kujipatia ujira. FAZULMAR AID FOUNDATION – Pamoja Katika Kheri. #fyp #mawaidha #follwmypage #viralvideo #trendingvideo @TikTok @tiktok creators @MUKAMMIL ISLAMIC FOUNDATION @Fazulmar Aid Foundation

🌸~♡Ashmar~🦋🥰
🌸~♡Ashmar~🦋🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 10:50:23 GMT
11568
874
20
33

Music

Download

Comments

ruqaiyah024
🔐MSONJO 002❤️🔐 :
ya Allah atusameh dhambi zetu yaraab
2026-06-12 11:19:22
9
ummy5303
ummy ☺ :
kutinda je nyus jmn au ni kunyoa zote ndo kharam
2026-06-12 18:35:52
0
mulheart301
Muljumanji 💞 :
Ya Allah niepushe na yaliyokatazwa Ameen thuma Ameen 🤲🤲
2026-06-12 12:49:04
4
mwanasha.salim24
Nashly salim :
Subhanallah Allah atuongoze
2026-06-12 18:09:24
0
kamanfinancial
joelinne yu :
subhannalah
2026-06-12 17:24:26
0
veenoor1
vee noor🤍 :
Allah atusamehe madhambi yetu😭😭
2026-06-13 17:21:15
0
ayse59276
ayse :
subuhanallah allha atusamehe mazamb yetu
2026-06-12 16:29:05
0
princessyusrath
princess yusrath :
Yarrab
2026-06-12 16:16:06
0
tatuhassani518
Tatu Hassani :
subhanalaah
2026-06-12 12:01:07
0
mvumilivuhulambivu
mvumilivuhulambivu :
kutia dawa nywele vp
2026-06-12 18:27:20
0
alhamdulillah.alhamduli7
Safia :
subhanallah
2026-06-12 17:37:30
0
user8236136112991
Dijah :
subhanallah
2026-06-12 13:39:51
0
zainabumussa82
Zainabu Mussa :
😭😭😭
2026-06-12 12:52:36
0
waridally35
waridally35 :
😫
2026-06-12 18:07:29
0
To see more videos from user @ashmar_quotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About