@mr..army.tz: Kuna sku niliwahi kusikia mtu anasema sio kama ataki kurudi nyumban lakini akirudi atamkuta nani ..hapo ndipo niliielewa vizur nyimbo ya ambwene Ile ya ''karibun nyumban''😭😭😭#CapCut #peacefulvibes #millionviews #searchinsightcreators #viralvideo
Mungu mtunze mama angu maana nina huyo tu mshaur na anaenipa hamasa zaid ya kurudi nyumbn msaidie na huyu anaesoma comment yangu mlindie watu wake wa karibu na wanaomzunguka kwa jina la YESU tuseme amen😭😭🙏🙏🙏
2026-06-12 16:54:12
2
Emmanuel Nyakarilo I :
dont give up
2026-06-12 13:05:34
0
kipira-018 :
Timamu
2026-06-12 11:09:05
1
christian(soldier) :
nakubali sana
2026-06-12 11:11:09
0
jo-oh👑 :
❤️one love itawale.
2026-06-12 15:01:49
1
It's-Hygathy,,,Idrissah💝🕊 :
MUNGU atupe uvumilivu watu wanapitia mengi sana😔💔
2026-06-12 11:28:12
0
dashna :
respect
2026-06-12 18:13:07
0
salvador _26 :
Mbali na Nyumbani ...Respect Makamanda👊🫡
2026-06-12 16:32:22
1
Aneth Samu :
una uhakikaa na sisi hatukutaki😢
2026-06-12 11:21:04
0
jude💖💖 :
timamu
2026-06-12 11:54:55
0
IZIGO ICON☠☠🇹🇿👉 :
mbali na nyumba familia essential
2026-06-12 11:16:31
0
paulin4ic :
na inauma sana kujua una nyumbn lakin huna wa kumkuta 🥹🥹🥹
2026-06-12 11:34:41
0
Agnes Kimoge :
Yani mkipost mambo yajesh mnanipa stress sana😔
2026-06-12 12:41:05
0
Devd Gorge :
kakavpi
2026-06-12 14:03:46
0
bobliy de zenj :
muhimu
2026-06-12 12:05:50
0
Ally Iddi :
one love itawale...💪
2026-06-12 14:58:34
0
Big boss projects 🌳🐃 :
mwaka wa 3 sasa sijarudi sababu iyo iyo😭
2026-06-12 15:43:40
1
Aste accessories :
mlio bahatika kuwa na Hawa watu waombeeni jaman 🙏
2026-06-12 11:39:46
0
Godesh :
Hakika 92 kule ni kule tyuu cio kiume Wote wop kule God bless us all TPDF🥰🥰🥰
2026-06-12 18:39:22
0
Rodgers Jimmy :
waliotuma maombi wameitwa kwenye usaili
2026-06-12 17:38:54
2
princess G de lioness :
🥺🥺
2026-06-12 13:30:23
0
👑 JOSËË _ JOSËË 👑 :
🔥🔥🔥
2026-06-12 12:42:15
1
JOXDADDY :
👊
2026-06-12 16:01:28
0
It's-Hygathy,,,Idrissah💝🕊 :
😷💪
2026-06-12 11:28:44
0
To see more videos from user @mr..army.tz, please go to the Tikwm
homepage.