@raytechnologiez: Setting ya siri ambayo hawakwambii

raytechnologiez
raytechnologiez
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 11:09:23 GMT
523375
26650
203
1809

Music

Download

Comments

user6527588027413
mk27 :
imekataa
2026-06-12 21:33:23
39
millwilliam8
Mill William :
Fundisheni software development acheni hivyo vitu vya kitoto. Unajiita IT hujawahi hata kuandika mstari mmoja wa code
2026-06-14 14:07:45
31
director_g0
Director_G :
Kwan DNS nini kaka
2026-06-14 17:47:21
8
itsuniquesalim
ItsUniqueSalim⛸️ :
No. Changing DNS settings does not improve Wi-Fi quality or signal strength. It may make website lookups slightly faster, but it won't improve the actual Wi-Fi connection quality.
2026-06-12 13:04:49
20
zyno667
Zyno Tz🇹🇿 :
mimi naomba unisaidie hiyo lunches app yako ya simu inayoonesha app zinazunguka
2026-06-13 10:55:29
16
francis.zachary23
Francis Zachary23 :
12/12
2026-06-13 04:12:58
5
mackmillan34
mackmillan :
acha uongo Mr IT hyo setting ni kwajili ya parental control and site filtering
2026-06-20 19:21:33
3
userceo1nai
CEO OF Nai❣️❤ :
ni samsng tu or cm zote
2026-06-16 16:09:36
8
gabrielmwakalenge
GABRIEL MWAKALENGE :
home screen kama yako file ziwe round hivo
2026-06-14 13:47:11
5
bakhresa25419
BAKHRESA :
Private Dns helps in blocking adds bro.. matter of fact it may even limit your access to public wifi mahn
2026-06-13 12:15:09
5
chejo_wana_man
@Chejo_Wana_Man 🐰 :
Kwa IPHONE Jeee
2026-07-09 04:48:40
3
elihuruma.edward
Elihuruma Edward :
mimi naomba unisaidie jambo moja, sijui niligusa wapi kila ninapo taka kutumia app yoyote iwe tiktoku, whatsapp au sms ,kupiga cm lazima yaje matangazo kibao hivyo yananichelewesha kufanya kitu kwa wakati je nazima wapi ili niondokane na hili tatizo?
2026-06-13 06:28:11
7
somadiancode07
AMIR LAST BORN :
asante kaka imesaidia kinyama yaani🙏
2026-06-13 19:28:34
6
king.of.stress4
Prof Bahath mchagga :
wale wa 10/10 nalipa jaman
2026-06-17 22:07:06
6
steven.lorenzo32
Steven lorenzo :
50/50
2026-06-15 13:10:56
3
ahek212121
AHEK :
mzeeee acha uongo
2026-07-04 19:19:04
2
amour.mzungu3
amour mzungu :
usipende kudanganya bro
2026-06-12 23:26:09
8
j.songo3
J.SONGO 🇹🇿🇲🇼🇿🇲 :
inakubali kweny sim zote au iphone tu
2026-07-09 19:24:02
1
djtimestwo
@Djtimestwo :
Hiyo ni kwa wifi ya Tanzania
2026-06-13 11:26:12
4
user1083973239206
Omary :
yes
2026-06-13 19:48:17
1
side.marley5
Side Marley :
oya kaka shukrani zije kwako nime fanikiwa apa
2026-06-15 21:16:42
1
frankmchumi
Frank Mchumi :
sio sahihi
2026-06-13 10:34:56
1
jobraipagraphics
jobraipa Graphics :
Kwa iphone??
2026-06-12 11:23:36
1
deeboss232
DEE BOSS+A :
nashukul
2026-07-20 08:27:00
0
To see more videos from user @raytechnologiez, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About