Daaah maisha yanaumiza sana huyu ni mama kabisa na pia anaweza akawa mama kwangu usikute anafnya kwa ajili ya watoto wake daaah imagine ni mama yako ALLAH amtie nguvu na atafute rizki ya halali😢😢😢🥺😭🙏🙏💪
2026-06-12 22:53:14
59
amaynah23 :
Jaman muacheni please nawaomba nikama mama zetu maisha ni magumu wallah
2026-06-12 22:01:10
18
Nasra @😘 :
wababa leeni familia zenu mama zet wanazalilika kwasababu yetu,,,,, imenium aaaaaaaa aaaaa 😭😭🙌
2026-06-13 03:18:33
24
maliamukipingi8 :
fikiri kabra ya kutenda hujui arifanya ivo arikua kwenye wakati gani mungu amrinde🙏🙏
2026-06-13 05:00:22
5
Candy.tuesday :
Hiiii itachekesha kama sio mama ako😔
2026-06-13 05:04:25
4
Zobya B :
jamani si esta uyu
2026-06-12 19:58:49
5
mutemba :
esta jau
2026-06-13 02:34:17
1
Kuluthumu Amani :
jmn kibenaa
2026-06-12 19:33:58
3
trice_outfits_mbeya🌹 :
Maskin🥲 kaiba nin??
2026-06-13 03:55:57
2
Benito :
msameeni jamani uyo njaaizo
2026-06-12 20:40:00
3
SAJULI :
angekuwa wakiume tayali apo
2026-06-12 19:58:48
2
True love never die :
Maisha jaman hujafa hujaumbika
2026-06-12 17:05:08
2
twalib Muslims ☪️ :
ameanza leo msameeni
2026-06-12 19:19:09
2
Trice Anthony :
jamaniii namjua uyooooo
2026-06-13 05:31:52
1
Rose :
MSAMEHENI JAMAN😭😭😭
2026-06-13 04:04:16
1
teddy :
maishaaa😭😭😭
2026-06-12 21:57:42
2
Ayoub Yusuf :
mtandao
2026-06-12 16:17:14
1
user9046523351810 :
Maisha magum jamani
2026-06-12 20:17:07
1
Anna berno ♐️🔥 :
jamani msamehen
2026-06-12 20:31:15
2
thabitpilimo871 :
huyu si esta duhh
2026-06-12 21:04:12
1
Naaa cute 😍 :
msameeh
2026-06-13 06:05:42
0
Mimah khan :
jaman esta😳
2026-06-13 08:48:37
0
prinsenc :
duhhhh jaman
2026-06-13 06:17:47
0
user93006162412575 j k :
msamehen jaman
2026-06-12 19:20:54
0
To see more videos from user @emanuel.shekashih, please go to the Tikwm
homepage.