@mama___chanjaog: NDANI YA TUGIMBE HIYO 🔥🔥🔥 PATA CHANGAMKA HUMU KESHOKUTWA JUMAPILI NA JUMA 3 NJOO TUKUUZIE VYOMBO HUKU TUNA KUFURAHISHA MTEJA😂😂😂😂😂

mama___chanjaog
mama___chanjaog
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 12:46:51 GMT
215778
26916
857
435

Music

Download

Comments

aishaaishaathum56
Aisha Aisha athuman😘 :
mbon m sijawah pata like 😂😂😂
2026-06-12 12:55:12
357
ritharemy.3
Ririe❤️‍🩹 :
Kama unaipenda hii familia gonga like hapa 🤭
2026-06-12 12:51:00
651
user9350020448339
J,no :
A loveeeee
2026-06-12 18:51:43
0
vimwa04
Angel mwayole :
Dad angu Tinah alikuwa mzma kabisa yan..any way nawapenda mnoo 🥰🥰🥰
2026-06-12 12:59:48
213
jamesvictor775
vidcom@95 :
sijawahi kufikisha like 100 naomba Leo nifikishe
2026-06-12 14:53:02
107
happie324
Da Bonge🥰 :
Ilaaa Tik tok bila wifi hutoboi😂😂
2026-06-12 14:22:09
92
gladnessmbunda
smile G :
kwaya ya mtakatifu mama chanja mbeya❤️❤️❤️❤️
2026-06-12 13:16:57
91
nanargina
nanargina :
hii ndio maana ya "kazini chizi nyumbani baba,mama" , nawapenda sana🥰
2026-06-12 14:55:50
44
najemba009
PENDEZA COSMETICS :
mama chanja umeuwaaaa😂😂🥰🥰🥰
2026-06-12 13:04:21
22
user1025762080676
💫💫 :
ila dada esta Mungu akubariki na familia yako hakika mnapambana sana🙏
2026-06-12 13:00:20
33
zenajerrylwenjegmail.com
nsalu ndimuwinza :
makofiii kwa fundi🥰🥰
2026-06-12 14:43:15
18
officialesthybae01
Esthy~bae💞 :
weee remy 😅😅
2026-06-12 17:19:20
0
user273881958132
dizz_boy :
daah asee mama chanja mme uwa san asee haha daah 🥰😆
2026-06-12 13:51:23
10
scola7789
scola :
jamn wakwanz Leo mama chanj Nakupenda san
2026-06-12 13:00:41
8
naom.sachi
naom sachi :
mamama chanjaaaa 🥰🥰 umeua mama unajua unajua tena
2026-06-12 17:33:35
6
benadethamhagama7
benadetha mhagama :
follow me back
2026-06-12 18:09:45
2
user2359402615461
Angel :
hii family 🙌
2026-06-12 13:04:14
6
reby0054
Reby❤️🙏 :
hongera sana mama chanja kazi mzuri kweli kazini kwako kuna kazi
2026-06-12 15:10:51
5
user9980149533111
user9980149533111 :
natamani kuwa mmoja WA hiyo familia jaman mama chanja I love you Mungu aendelee kukubariki mwaya
2026-06-12 15:35:13
4
jacob.alphonce
JB 🍂 Alphonce :
mbn mm sjawahi pata like
2026-06-12 15:25:51
7
rionrichley
lastborn🤖 :
Zikifika likes 100 namuacha mke wangu
2026-06-12 12:53:06
12
user3200524576799
Maryam04 :
Dah ila mama chanja😅 aya bhn mungu abariki kazi ya mikono yako😅
2026-06-12 13:48:15
11
offcialtunda
offcialtunda :
jamni nawapenda sana naomba n mm niw famliy
2026-06-12 13:07:50
6
prixjux10
prixjux10 :
nimecheka uzidii barikiwa mama chanjaa jmn nakupenda dada ♥️
2026-06-12 12:51:16
7
To see more videos from user @mama___chanjaog, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About