@tegatega18: اسمع للآخر #شعب_الصيني_ماله_حل😂😂 #بيبي_صوت_الحق🇸🇩✌️ #دعم_سريع #مشتركة_سم_الجنجويد

نصر_tegatega
نصر_tegatega
Open In TikTok:
Region: TD
Friday 12 June 2026 13:10:39 GMT
20857
483
5
50

Music

Download

Comments

ali.soltan518
🦅علي🦅 ود طينة🦅 كوم اسكادرو :
✌✌✌
2026-06-12 15:41:11
0
vabaajanu
🥷🏿شبلي كالى 🔥🇧🇷 🇪🇸 :
😂😂😂
2026-06-12 14:51:18
0
mohammed.hamed8462
محمد تركي✌✌🚭 :
✌️✌️✌️
2026-06-12 13:17:23
0
mohammed.hamed8462
محمد تركي✌✌🚭 :
🥰🥰🥰
2026-06-12 13:17:20
0
mohammed.hamed8462
محمد تركي✌✌🚭 :
🥰🥰🥰
2026-06-12 19:40:31
0
To see more videos from user @tegatega18, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Al-Wafaa ni miongoni mwa maadili makubwa yanayosisitizwa kwa kila muislamu kujipamba nayo. Mtu mwenye tabia ya Al-Wafaa huwa hasahau wale waliomsaidia katika nyakati za shida, waliomshika mkono alipokuwa dhaifu, au waliompa fursa mpaka akafikia mafanikio aliyonayo leo. Kukumbuka wema wa watu na kuwashukuru kwa mema waliyokutendea ni ishara ya moyo wenye heshima, unyenyekevu na maadili mema. Muislamu anatakiwa kuthamini kila mchango aliopewa na kuwalipa watu wema kwa kadiri ya uwezo wake, au angalau kuwaombea dua njema ikiwa hawezi kuwalipa kwa mali au huduma. Kusahau fadhila za watu baada ya kufanikiwa ni tabia isiyopendeza na inaweza kuwa dalili ya kukosa shukrani na uadilifu. Mtu mwema hutambua kwamba mafanikio yake mara nyingi yamepitia mikono ya watu ambao Allah (S.W.) aliwafanya kuwa sababu ya kumuinua. Kwa hiyo, huendelea kuwaheshimu, kuwathamini na kutaja mema yao. Mwenye kuzoea kulipa fadhila na kushukuru watu hujijengea heshima mbele ya Allah na mbele ya jamii, kwani kuthamini wema ni katika sifa za watu wema, ilhali kuusahau na kuukanusha ni katika tabia mbaya ambazo Muislamu anatakiwa kujiepusha nazo. As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

About