@mwanrique: Family Trust & Kizuizi. Ongeeni na wataalam jamani [email protected] au jaza form ya ofisi www.hamiahapa.co.tz/contacts tutakuhudumia. Huduma zinaanzia 150k
heeee jamani nilikuwa wapiii?!
naomba uendelee kutujuza mengi tusiyoyafahamu🙏hususan hii family trust nataman kuifaham kiundan,God bless you 🙏 🥰
2026-06-13 09:59:57
1
SAME MILL🌍🌽🌽🌽🍚 :
mungu akubariki najifunza kwako dear
2026-06-12 14:44:58
4
PARIS_369 :
asante 🥰
2026-06-13 10:51:26
0
Maswai_Lucia 💞 :
nitakutafuta🥰
2026-06-13 12:47:09
0
GAMY WILLY :
kwani siwezi kuanza sasa ivi hata before marriage 🤣🤣🤣🤣
2026-06-13 13:03:44
0
FOOD THERAPY :
Hyu ndiye mtu ninayemkubali humu tiktok✅👌
2026-06-12 20:07:28
3
Tito Davis :
ni sawa ila tunitahidi sana kuwashauri wanawake huwa wanaamini mali zao sio za familia niliona dada kaajiriwa serikalini lakini kwenye mrisi haja muweka mumewe kaweka dada zake na kaka zake sasa nikamuuli za ukifa leo watoto wako watapataje haki zao maana hao ndugu zako izo pesa zako watazitumia kuhudumia watoto wao huku wakwako wanateseka akanijibu ila kweli
kwenye familia wote mtakakiwa kujitolea na kuhaminiana kama unona mtu uwezi kumuamini usiolewe nae tafuta mwingine
2026-06-13 10:25:40
1
Anuary Joseph :
Judith unamadini sana yan 10/10
2026-06-12 18:40:10
2
MarickTech :
Mimi ni nani niache kukufollow kwa madini kama haya. 😍
2026-06-13 05:52:29
1
salomemishishi :
Sijutii kuku follow
2026-06-12 20:37:19
1
hollokibishi :
Facts
2026-06-12 16:52:38
1
Justine :
dah ! noma sana umetufungua
2026-06-13 10:24:52
0
Rwandese Gou_dess :
Kuku wanapendaga spotlight😁
2026-06-13 10:57:55
0
daddy :
tuandkie kitabu. love u
2026-06-12 20:32:16
0
elizasamwel designs :
thanks 🙏
2026-06-12 18:24:48
0
yourtriptozanzibar :
Hakuna mambo ya mr n mrs andika jina😁😁😁 basii
2026-06-12 14:46:47
0
Hair Zone :
that's very true mentor wangu, Family Trust, inasajiliwa na MSAJILI -RITA, kunakuwa na Settlor ambaye ni baba na au baba na mama na Beneficiaries ni watoto wao, so all properties zinaorodheshwa katika Katiba ile na namna mnavotaka Mali zitumike. yaani ni utaratibu mzuri na ile namna ya kugombania Mali za marehemu hapa kwenye Trust ndio Huwa mwisho 😀 kwani Mali zinakuwa chini ya Administrator General, hakuna anayeleta ulafi.b
2026-06-12 17:52:09
2
Grandfather Of The Groove🎹 :
madini🔥💪
2026-06-12 20:53:39
0
Ftwilderness :
Hiyo lovely wife mbona kama unatuma ujumbe kijanja kwa bebe wako😁😁😁 haya kwa niaba yake tumekusikia
2026-06-13 06:52:57
1
emmanuelbepar :
madini tupu
2026-06-12 20:42:50
0
Gibby :
Mle huko kuku n post it
2026-06-12 21:18:12
0
Deogratias Didas :
👏
2026-06-12 18:32:12
0
To see more videos from user @mwanrique, please go to the Tikwm
homepage.