@michano.100: IVI KWA NINI AKISEMA KITU MBONGO NI SAWA ILA AKISEMA MZANZIBARI NI UBAGUZI...? #tiktoktanzania🇹🇿 #zanzibar #tanganyika #fypシ゚viral #fypage
uyo anaemzungumzia ni mbunge na yupo hapo kuwakilisha jamuhur ya muungano ana haki hio na sio mwakilish
2026-06-12 15:54:43
0
samz-universal :
😂😂😂😂Tatizo hao watanganyika wanataka kujifanya top ndio 7bu
2026-06-13 03:20:40
1
MISSZANZIBAR😍 :
Lukuvi alitukana sn 😂😂na nyerere kuhusa znz na wazanzibar vipngoz weng wa tanganyika washatukana sn kuhusu Zanzibar
2026-06-13 23:56:56
2
Godogodo :
mizengwe pinda kasema zanzibar sionchii
2026-06-13 17:47:29
0
Obelloz :
mhh watanganyika wanatia huruma dahh wanafkiria km tutawafukuza🤣🤣huku
2026-06-14 21:49:28
0
Khamis Hamad :
wanaharisha humu tik tok kila mtu kila kichogo anaharisha tu wiki hii
2026-06-12 22:46:36
3
al darary :
sio ubaguzi hapo ni ukosefu wa elimu
2026-06-12 19:18:54
2
Haroun rasheed :
bhaaaassss imeisha iyooo ndo nishangae ubaguzi umeanza wpi ? kumbe wao kwel nayni haoni kalio lake wabongooo punguzeni stress z maisha bn mbn cc wazanzbar tupo peace sana cc jmn et
2026-06-13 06:23:31
2
nicelady26 :
kwsni nanyiye simunatuwita walaurojo
2026-06-12 20:29:00
1
Fabolizo Mafyonso :
Wafahamishe ndugu zako watakuelewa tu.
2026-06-13 07:13:54
1
mama hapsa :
Hawajielewi
2026-06-13 05:09:36
1
Mullah :
majitu ya bara hayanaga heri haya ,, wafanye wao ,
2026-06-15 09:50:48
0
sauti ya ZANZIBAR✊ :
kabisa mzee😂😂😂
2026-06-12 15:38:20
1
Aisha Shaaban :
Ni kweli kabisa wambie hao waelewe 👌💯
2026-06-12 19:07:33
1
Daudi Kijana :
WANAROHO MBAYA NA CHOYOO VINAWASUMBUAA
2026-06-12 21:02:52
1
MAOFA :
sisi hatuna hofu maana tunajitegemea kila kitu
2026-06-12 19:07:04
2
Qari SAID BIN ALI :
bora iwekwe serikali tatu
2026-06-15 03:07:11
0
Umanzi :
asante broo
2026-06-16 09:48:20
0
شمس & فرحين جذء من جسدي :
Minyamwezi hio
2026-06-16 07:35:33
0
bin Amraan :
mbona mnapaparika sana lkn 😆😆😆
2026-06-16 11:14:47
0
naylarukia :
hawana kazi hao
2026-06-15 14:26:08
0
naylarukia :
waambieeee tushachoka nao
2026-06-15 14:24:47
0
al darary :
dada kaa kimya huko ulimwenguni dubai china india na thailand maduka yanaaza saa 6 mchana
2026-06-12 19:19:35
0
To see more videos from user @michano.100, please go to the Tikwm
homepage.