@khairiyyatvtanga: *MAARIF DAY 2026: JAMBO LIPO MEZANI, ZIMEBAKI SIKU 26 TU!* Habari na Khairiyya Online TV Leo tarehe 12 Juni 2026, zimebaki siku 26 tu kuelekea kuanza kwa Sherehe za Kielimu MAARIF DAY 2026, tukio kubwa linalotarajiwa kuwakutanisha wadau mbalimbali wa elimu na maendeleo. Sherehe hizo zitafanyika kuanzia tarehe 08 Julai hadi 10 Julai 2026 katika Viwanja vya Shamsil Maarif Duga, Tanga Tanzania. Katika kuelekea tukio hilo muhimu, Khairiyya Online TV inakuletea kipindi maalum cha MAARIF FOCUS, kitakachoanza rasmi tarehe 20 Juni 2026 na kuzinduliwa na Mudiri wa Shamsil Maarif, Sheikh Samiri Sadiki. Kupitia kipindi hicho, watazamaji watapata fursa ya kufahamu kwa kina: ✅ Mipango ya kielimu ya Shamsil Maarif ✅ Fursa za kiuchumi na maendeleo ✅ Mikakati ya taasisi kwa miaka ijayo ✅ Maandalizi ya kuelekea MAARIF DAY 2026 Haya yote ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea kwenye sherehe kubwa za kielimu za MAARIF DAY 2026. Usikose kufuatilia Khairiyya Online TV, kwani tutaendelea kukuletea taarifa, vipindi maalum na mahojiano mbalimbali kutoka Khairiyya Online TV — Shamsil Maarif Tanga. SUBSCRIBE Khairiyya Online TV Mawasiliano 0622 166 959 #MAARIFDAY2026 #MaarifFocus #KhairiyyaOnlineTV #ShamsilMaarif #Tanga
Khairiyya online Tv
Region: TZ
Friday 12 June 2026 14:43:40 GMT
Music
Download
Comments
Shekalage Shekalage :
mashaallah
2026-06-15 09:37:20
2
teacher :
hata kama hii qaswid ni ya mwaka jana
naomba mungu akipnd iimbwe Tena mwaka huu inshallah 🙏
2026-06-17 08:51:42
2
Juma Seifu :
mashahlaa
2026-06-13 12:31:18
1
user2506135928146 :
mashallaah
2026-06-18 07:08:16
0
hemedijr03 :
Allah atuafiqishe inshaallah tuweze kufika katika bahari kubwa ya elmu
2026-06-27 05:06:16
0
NURU YA NYUMBA🛜 :
ya salam
2026-06-27 20:00:49
0
mussa j juma :
mashaallh
2026-06-17 18:26:42
0
Lailat Said :
mashaallah
2026-06-16 04:11:41
0
Menah🧕🌹 :
mashallah 🥰🥰
2026-06-19 20:09:19
0
Ibrahimu Nuhu :
mashaallh
2026-06-16 21:47:46
0
wandoto :
Inshaallah allah atufikishe salama nije kumuona tena mjomba angu mudiri wetu sheikh samiri sadiki
2026-06-18 18:29:05
1
muhidini :
Allah akbar
2026-06-15 11:04:46
1
mishi 🍒🍒 :
🥰🥰🥰
2026-06-25 20:28:42
0
To see more videos from user @khairiyyatvtanga, please go to the Tikwm
homepage.