chinga mzuri sana mkalimu sana nakuona sana mbalizi unauza viatu vizuri
2026-07-02 21:24:24
69
_cliffton :
sauti ya mamlaka, Bwana akuinue sana kaka
2026-07-03 13:38:29
84
TUZO JEROME TZ ✅ :
Sauti kama hizii💪💪
2026-07-23 07:01:56
21
Pauline :
anointed voice,,,,You can't skip this ❤️🔥
2026-08-01 18:10:52
1
Erick Kimani Jr 🇰🇪🇺🇲 :
Henry Francis Lyte aliandika wimbo huo mwaka 1847, akiwa katika kipindi kigumu sana cha maisha yake. Wakati huo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua kikuu (tuberculosis) ambao baadaye ulimpelekea kifo. Alikuwa tayari anajua kuwa afya yake ilikuwa ikidhoofika na huenda alikuwa anakabiliwa na mwisho wa maisha yake.
Inasemekana aliandika wimbo huo akiwa katika maandalizi ya hubiri lake la mwisho kabla ya kuondoka kwenda kutafuta matibabu katika nchi yenye hali ya hewa nzuri. Maneno ya wimbo yanaonyesha hali yake ya kiroho wakati huo: kumwomba Mungu abaki naye wakati wa giza, udhaifu na kifo.
2026-07-14 20:42:14
26
XABI ALONSO🇲🇿❤️ :
from Mozambique 🇲🇿🇲🇿 Nakupenda brother
2026-06-15 06:54:43
12
USHINDI (GOSPEL)🇰🇪🇺🇸 :
sauti ya maombi na uimbaji asante kwa message
2026-07-03 20:12:56
40
big7six :
Ni Mungu tu🙏🙏🙏
2026-06-28 11:25:00
8
APOSTLE MELKIZEDECK MSECHU :
MAN OF GOD, WEWE NI BARAKA SANA KWENYE KIZAZI CHETU.
2026-07-11 02:54:11
8
bwana yesu asifiwe :
naipenda hiyo sauti jamani
2026-06-12 16:05:23
25
Ashley asha :
sauti ya nabii wa mungu
2026-07-05 10:16:50
7
lady@Jolly :
Waooh barikiwa , kwasababu Nilikuwa najiuliza tafsili sana ya huu wimbo 🙏
2026-07-04 06:10:49
5
Malume. :
Sauti tu inanipa goosebumps,mungu akuinue mtumishi wa mungu
2026-07-03 09:53:33
20
TATA BM🦅🇹🇿(NYEBHOSA) :
UNAMLITHI MWAKASEGE AKIWA HAI🥰
2026-07-04 01:19:29
6
chosen one 🥰 :
nimejisikia mwenye nguvu ,yaan nimekutana na hii post nikiwa katika hali ngumu sana ila nimesikia sauti ya faraja🙏
2026-08-01 20:08:24
2
Sammy muriira :
ningependa kusikia ukiubiri.
2026-07-13 10:59:29
3
KAKA BUILDERS :
good content bro unaitwa aje playstore nikuinstall
2026-08-02 19:09:26
2
TONE :
The Voice Of Authority from Heaven....
Yesu Nakupenda Sana Kaa Nami
2026-08-03 21:47:16
3
user3662817844357 :
mahali niko I think av lost sleep koz of my.family sorrows.am.in.a place dat God z silent on mi😭😭😭😭😭😭😭😭I wsh God would confirm to mi dat I still exist in him
2026-07-04 21:48:33
4
Taita Outfits :
Niombeeniii 😭
2026-07-10 21:22:44
1
To see more videos from user @eliudimsyani6, please go to the Tikwm
homepage.