Siyo lazima awe comedian, anaweza akawa best katika kuorganize, au management...
2026-06-12 19:52:21
21
princess :
Mzee Shayo hii nayo Ni comedy au uko serious??
2026-06-13 03:25:20
3
sierah kitomary :
where when😁😂
2026-06-13 07:15:31
0
Sweetbert Vedasto :
Mzee Shayo umeongea fact kubwa sana...Naomba nicoment pia, Miezi kadhaa imepita Coy Mzungu alikusanya Vijana zaidi ya 300 akasema anatoa mafunzo ya Content Creator, akaandaa training ambapo Vijana wakaja na alisema kiingilio 10,000 vijana 10k sio kitu wakatoa, mwisho wa siku kafanya ujanja hakuna kijana alienufaika zaidi ya kupoteza muda wao na kula pesa zao, akaja akamtangaza jamaa mmoja kuwa ni mshindi wa content creator....Nakuunga Mkono jamaa ni Mfanyabiashara,sio game changer anaangalia maslahi yake tu... Vijana ambao walioshiriki wanajua ...i...Swali langu je pesa alizochukua za Vijana nini ilikuwa dhamira yake??? Na hapo alilipwa kufanya tangazo na kampuni moja ya vipodozi, akawatumia vijana kutengeneza content akawapotezea muda kama haitoshi akachukua na pesa zao ikiwemo yangi....Goldeeen Creators kama mnajikumbuka naomba mlike hapo
2026-06-12 21:37:16
12
Lilykim :
Facts!!!
2026-06-13 06:35:35
1
sachuherry :
sure
2026-06-12 15:29:28
7
Redberries🍒 :
Na akaenda kuwa judge bss kma nani😁
2026-06-13 03:43:44
4
Msomali Minja :
fact
2026-06-12 18:09:49
4
junior stanslausy :
sure
2026-06-13 02:31:26
2
bea :
kachange nini? wapi ? how?
2026-06-12 16:48:12
3
Bruno Peter :
Mc pili pili
2026-06-13 04:12:06
2
ORESTY KIMAMBO :
mzee shayo kwan hii n content😂😂😂
2026-06-12 21:50:21
2
sallykido :
kweli huongeg ila umeongea point sana me nakukubal
2026-06-12 20:47:01
4
Home_items_arena (back_up) :
Kabisa
2026-06-12 21:47:04
2
Kamote :
kweli kabisa
2026-06-12 19:49:30
6
e.movie :
Tusamehee Meku
2026-06-12 20:12:57
5
Mo15 unstoppable :
Sure👍
2026-06-12 15:30:36
2
shimano_aziz :
Master mind 😂
2026-06-12 19:01:17
2
Abdallah Mohamedi :
Naku kubali mkuu
2026-06-12 20:36:55
1
Samuel Elisha :
kaka ww unataka nn
2026-06-13 06:07:36
0
Elias Moses :
hii iko personal sana
2026-06-13 05:05:24
0
To see more videos from user @mzeeshayo_, please go to the Tikwm
homepage.