@dalali_msomi_kigamboni: #creatorsearchinsights 🚨🏡 MASTER ROOM + JIKO KUBWA – KIGAMBONI DARAJANI NUNGE 🏡🚨 Unatafuta chumba kikubwa, kizuri na cha kisasa? Hii hapa ipo Kigamboni Darajani Nunge, karibu kabisa na barabara kwenye mazingira safi, salama na tulivu. ✨ Master Room kubwa sana ✨ Jiko kubwa la kisasa ✨ Finishing nzuri za kisasa ✨ Nyumba safi na yenye hadhi ✨ Wapangaji wachache sana 🏠 MAZINGIRA ✅ Ndani ya fence ✅ Parking kubwa ipo ✅ Karibu kabisa na barabara ✅ Mtaa mzuri na uliotulia ✅ Mazingira safi, salama na tulivu ⚡ HUDUMA 🔹 Umeme unajitegemea 🔹 Maji yanapatikana masaa 24 🔹 Huduma zote muhimu zipo karibu 💰 KODI: Tsh 200,000 📆 Malipo: Miezi 6 📍 Kigamboni Darajani Nunge ⚠️ Nyumba za aina hii kwa location hii na bei hii huwa hazikai muda mrefu sokoni. Wahi kabla haijapangishwa! 📞 DALALI MSOMI KIGAMBONI MSOMI REAL ESTATE ☎️ 0713 092 780 🔥 Karibuni Kigamboni kupata nyumba nzuri, za kisasa na zenye thamani ya fedha yako #dalalimsomikigamboni #kigambonibridge #tiktoktanzania🇹🇿