@destiny_dreamfate: Huu ni ukweli ambao wengi sana mtauchukia maana hampendi kuusikia ila ifike mahali tuwe wa kweli kwenye nafsi zetu na tuyajidili mambo kwa ukweli wake badala ya kutaftiana angle ya kutupiana lawama! Ifike mahala tujue changamoto halisi ni nini na nini kinapaswa kifanyike kutatua changamoto hiyo??? Sikiliza video hii hadi mwisho kuelewa zaidi kisha utoe suluhu ya infidelity kwenye jamii zetu. Tufanye nini kuwa na ndoa zenye wanandoa waaminifu? #fyp #foryou #foryoupage #viral #viralvideo

Miss Wanda Gordon
Miss Wanda Gordon
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 12 June 2026 16:27:01 GMT
50204
2295
184
231

Music

Download

Comments

yellow.bee03
yellow bee :
Uaminifu umeisha ndo maana mambo yamevurugika tuko hapo tulipofikia kila mtu amiliki vyakwake
2026-06-13 04:14:56
43
janepallangyo
Jane Pallangyo :
“HEKIMA YA MUNGU INIONGOZE” ❤️💯
2026-06-13 05:55:30
29
hasnaaa644
Hasnaa!!🧕🏻📖 :
Good dada🥰🥰
2026-06-13 08:22:02
0
mjemakabwe2
mjemakabwe :
unaakili sanaa miss
2026-06-13 04:20:20
11
its_nuu6
Nuu Designs 👗🪡 :
Umemalizaaa mamaa🙏😍
2026-06-12 19:24:07
9
riotech.tz
Riotech_Tz :
Sister umeongea point sanaa kwa mtu mwenye akili ndo atakuelewa 🫱🏼‍🫲🏽
2026-06-13 06:51:04
8
juliusjuma702
Julius Juma :
good morning my neighbour
2026-06-13 06:43:31
1
englishmasterstz
English Masters :
Back to the drawing board✅️
2026-06-13 12:28:02
0
adelaidamassua
adelaidamassua :
truly
2026-06-13 08:05:22
0
didi..1207
Your lab scientist🔬🧫 :
Nilikua nasubiri hii asante sanaa 🙏🏾
2026-06-12 16:47:18
6
loveness_collection
Lovely🦋 :
Mungu akubariki sana
2026-06-13 11:09:15
0
mariamassah
MARIA❤️ :
Mwanamke na nusu ❤️❤️❤️
2026-06-13 06:06:39
5
tayba112stylish
Tayba Mohamed :
ni kweli kabisa
2026-06-13 07:05:43
0
daimimatz
Mimah🥰 :
Umependeza sana
2026-06-13 09:21:24
0
estahtuga
ester Richard :
kabisa mum
2026-06-13 06:16:58
0
konzoanna
Anna konzo :
u said it all dada angu
2026-06-13 08:14:48
0
user099452425
Athumanijuma :
exactly
2026-06-13 08:18:38
0
user60280754406155
Kida :
necked truth
2026-06-13 10:52:15
0
rachelyrose13
. :
kweli kabisa
2026-06-13 07:17:30
0
bertherkapesa
Berther Kapesa :
unasema kweli dada.
2026-06-13 08:18:28
0
user7709103028174
deusi magdalena :
asante dada
2026-06-13 06:54:36
0
eliyanabii904
eliya_nabii :
safi sana nmekupenda sana
2026-06-13 15:04:22
0
muka19955
Muka1995 :
Kweli kabisaaa, shida ipo hapo
2026-06-13 08:23:23
0
victoriamsangi2
tv :
umeongea kweli.
2026-06-13 06:27:52
0
To see more videos from user @destiny_dreamfate, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About