nafurahia ndoa yangu japo bado tunapambana mme wangu ni yatima lkn nimeahidi kumlinda na kusimama nae katika nyakati zote nakumlinda km mama kwa mwanae nampenda sn na mwanga tayar unaanza kutumulika asante mungu kwa yote 🙏🥹
2026-06-21 14:22:50
27
Samir Hassan :
yule alishindwa kuvumilia akanikatia tamaa. alisema ivi nanukuu. "mungu gani ambaye hakupi kila siku kesho tu" 😭 na ikawa ivo. saa hii alhamdullillah acha nipambanae pekeangu
2026-06-24 06:54:00
11
Roma shemkomba :
song name plz
2026-07-23 18:51:42
1
💸BOSS LADY 💸 :
Mungu nipe huyo mwanaume 😭😭
2026-07-11 05:43:19
5
✨HILLDAH RICE🔥 :
Ninaa last born wanguu mwenye akili ya first born nampenda sana na naimani tutazishindaa changamotoo na tutasimuliaa hapo badaee♥️
2026-06-26 14:30:52
5
Rehema Amani :
tukiwachagua awatutaki wanawataka wanao wapenda wakiumizwa ndo wanataka kuludi kwetu tuinuke nao na kuanguka nao 🥺 wanaume nn mnataka
2026-07-23 17:05:13
1
zuuh :
haezi ona post kaa hzi🥹
2026-06-25 08:10:16
4
SALAMA Fashion And Beauty :
jawatuchagui kabisaa 😁
2026-07-15 14:26:42
2
chid by :
naomba tuwe malafik
2026-08-22 16:12:35
0
jayvanny_6 :
😂😂😂 whats a ffff issue ya kupambana pamoja
2026-08-06 13:19:13
1
Äuñty⚡️Søphy🇹🇿🥀 :
Fact ✔️
2026-06-26 14:00:45
2
Gift Kelvin :
hakik
2026-07-13 22:20:34
2
👑MULUH HAMDY💞 :
hkk🥰🥰
2026-06-26 09:02:51
2
bi hawaa :
ila kweli wallah
2026-06-27 17:58:32
2
DUKANICARGO :
na mkifanikiwa aombe taraka pia mgawane mali akaishi akijisifu strong woman mjitahid pia kutaja na side effects
2026-07-19 19:20:34
1
AlQalb🫀hammy :
😳😳😳wako wapi hao wanawake wa kuanguka na kusimama nao now ukianguka mtu anakukanyaga mgongon anasonga mbele 😂😂😂
2026-06-13 10:44:15
6
iftytumah🦋 :
yaje kuwa y safeera n ahmed mwenetu😌
2026-06-24 05:22:27
3
Fernando09 :
Kumpata sasa
2026-06-27 07:54:27
2
mom Kendrick :
usisahau na kumpiga matukio mkisha fanikiwa ili akasimulie vizuriii 😂😂
2026-07-21 10:42:54
1
COOLEST MAN :
💫💥💯
2026-06-25 16:58:42
2
Enock Boy :
@Mrs Enock💞🎖
2026-06-26 11:19:18
3
MBEYA BOI CENTRO ZONE TZ :
🔥🔥🔥
2026-06-25 05:40:29
2
tumaini nicole :
😁😁😁
2026-07-11 17:18:03
2
budyson1 :
@ummy budy❤️@Ummy Lau
2026-06-30 17:12:22
1
It’sPilato :
@Jopiness juma
2026-07-15 17:52:57
1
To see more videos from user @whiterabbit__69, please go to the Tikwm
homepage.