@duneskydina: 😂😂😂

🍒𝓓𝓾𝓷𝓮𝓼𝓴𝔂🍒
🍒𝓓𝓾𝓷𝓮𝓼𝓴𝔂🍒
Open In TikTok:
Region: VE
Friday 12 June 2026 18:49:25 GMT
12323
800
1
416

Music

Download

Comments

leidymar924
🫦👻chiquita 🫦👻 :
🤣🤣🤣
2026-06-13 01:24:16
0
To see more videos from user @duneskydina, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

HAKUNA NAMNA UTAFANIKIWA MAISHANI MWAKO USIPOKUTANA NAO | UTAWATAMBUAJE? UTAWAPATEJE? | Joel NanaukaHAKUNA NAMNA UTAFANIKIWA MAISHANI MWAKO USIPOKUTANA NAO | UTAWATAMBUAJE? UTAWAPATEJE? | Joel Nanauka
HAKUNA NAMNA UTAFANIKIWA MAISHANI MWAKO USIPOKUTANA NAO | UTAWATAMBUAJE? UTAWAPATEJE? | Joel NanaukaHAKUNA NAMNA UTAFANIKIWA MAISHANI MWAKO USIPOKUTANA NAO | UTAWATAMBUAJE? UTAWAPATEJE? | Joel Nanauka "Maono yako ili yatimie kuna watu lazima ukutane nao. Na watu wengi wanakwama sio kwasababu hawana uwezo, nia au nguvu ya kiMungu ndani yao... bali ni kwasababu kuna watu wanatakiwa kuwavusha na hawajakutana nao. Yusufu alihitaji watu wa kumtaja ili kufika alipofika. Yoshua alimuhitaji Musa. Yesu Kristo alihitaji kutambulishwa na Yohana mbatizaji. Mungu ametoa watu kwa ajili yako wewe... na hakuna mahali atakufikisha mpaka utakapoambatana na hao watu. Ni lazima ukutane nao. Usipokutana nao... utachelewa sana. Daudi alipewa uwezo wa kifalme lakini alichunga mbugani mpaka alipokutana na 'Destiny Helper' Inawezekana upo hatua moja kwenda kwenye future yako kubwa lakini kumbe umekosa watu hawa." Anasema Dr. Joel Nanauka. "Swali ni... aina gani ya watu? Unawapataje? au unawatambuaje? Ni heri uyajibu hayo maswali mapema na uwe na uwezo wa kuwaonesha watu hao uimara wa hatima yako ili waweze kuambatana na wewe. Kwasababu kwenye Maisha yako kuna mahali utakuwa na maono makubwa zaidi ya hali uliyonayo sasa hivi. Usipopata watu wa namna hii utasota mahali pamoja kwa muda mrefu." 💡 Usiache Kutazama Mpaka Mwisho! ✔️ LIKE video hii kama umejifunza kitu kipya 📢 SHARE na rafiki yako anayehitaji mafunzo haya 🔔 BONYEZA KENGELE ili usipitwe na video mpya Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na group letu la WhatsApp 🎧 Sikiliza H.W PODCAST kwenye Spotify, Boomplay, Apple Podcast, au jukwaa lolote la sauti unalopenda. -- Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media -- ........................................................................................................................... #Nanauka #Watu #Hamasa #Kusudi #Imani #Mafanikio #Thewisetz #H.WMedia #JoelNanauka #UimaraWaKifikra #Biashara #MaishaBinafsi #Nanauka #wisdom #thewisetz #MaishaYenyeMaana #KusudiLaMaisha #Mafanikio #Kujitambua #Motivation #Tanzania #Kenya #Uganda #Zanzibar #Congo #hatima #destiny

About