@cawabemedia_: Msanii @dullamakabila amefunguka kuwa anaomba wachambuzi kama @hajathecredible @el_mando_tz @hopetygatz na @sumamnazaleti_ kwanini hawajamuongelea msanii @rayvanny kwa kuperfom katika jukwaa kubwa la world cup yeye yupo radhi kuwalipa siku tano wamzungumzie
cawabemedia
Region: TZ
Friday 12 June 2026 20:47:52 GMT
Music
Download
Comments
King brand 👑👑 :
Huyu jamaa anaongeaga kweli muda wote👏👏
2026-06-12 22:14:18
1156
Dettah Bwizzo😜 :
Sema Leo umeongea point adi tushasahau miguu bro
2026-06-12 22:41:55
290
Ilham :
100/100
2026-06-13 13:11:44
0
Bozēn-dēk :
Show gn na kaenda kama Back vocal
2026-06-13 04:36:21
111
Rimz :
sijawai kuona dullah anaongea point kama hii leo anaonekana kabis kam mtu
2026-06-12 21:36:17
787
Jaylucas🤍🖤 :
wanawivu sana ila dulla umeongea point kinoma🥰🥰
2026-06-12 21:47:08
318
HAZUJU :
tumekwazika
2026-06-12 21:53:08
121
LAST BORN :
20/20 mukuje
2026-06-13 07:13:39
16
@Ruzna og :
dulla makabila ni mmoja tu🥰🥰
2026-06-12 22:16:04
78
dj daru tz :
show gani kajipendekeza na hayupo kwenye list.
2026-06-13 06:43:48
26
Juls..✌🏻🫰kmj4.👊 :
hii inchi ya ovyo sana
2026-06-12 21:23:41
70
gwido master :
kweli bhana muda huu hata mashabiki tumpe support rayvanny
2026-06-13 18:33:02
8
Martha Kapande :
kweli kbs wanapendelea
2026-06-13 06:48:08
15
maharage ya mbeyaperfect :
dulla una utu kweli mwanangu
2026-06-13 06:14:24
17
miss vee🌹🦋🦋 :
umeongea point mwanangu
2026-06-13 09:17:23
8
zaxc said :
Kwel umeogea point broo
2026-06-13 08:34:57
3
ceey david :
fact talk🔥
2026-06-13 06:33:00
2
Frank kitaly :
big point
2026-06-13 05:28:39
2
Jadon_05 milano dé prada 2026 :
uhakika dulla
2026-06-12 21:25:46
27
Alvin Moses :
Kweli kabisa ingekuwa Diamond hapo ingekuwa shida
2026-06-13 01:10:25
47
farid😘 :
kwakwel 🥰🥰🥰 you speak the truth
2026-06-13 06:11:09
8
JAMES MADVD🎬 :
daah mwamba ameonge ukwely sana wachambuzi ni machawa sana
2026-06-12 21:30:19
75
PLANET 🪐 :
Fact kabsa
2026-06-12 22:56:17
17
RAMOO :
Dah ila nikweli
2026-06-13 04:02:44
12
Chewa xio 4️⃣👊 :
kwl kak
2026-06-12 21:41:02
24
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.