Chris alikosea sana. Mwanamke mrembo hivi jamani. Sasa lile jamaa linazalisha kama mashindano. Sikupenda kabisa Rocky awe na Rihanna. Nilitaka iwe Chris na Rihanna. Dah!!
2026-06-13 03:17:16
110
#official CLACK# :
Asa uyo wakukupenda akishakuona2 akuna upendo tena
2026-07-30 08:04:24
3
Samy one :
I like this music too much 🙏🙏
2026-08-02 19:19:36
1
bunaya kids :
apoo ni stress 2puu sioo kwa uzur huoo
2026-06-14 12:02:51
17
ster boy :
jina la kinyimbo jamn💤💤💤
2026-06-15 19:53:42
11
LUCHEVY :
naomba tupendane
2026-08-02 06:59:24
0
Bizze Boy :
ila we umezidi uzuri ata mm sikupendi labda ku spend on weekends
2026-06-13 13:21:16
18
iamrichtinah :
jina la nyimbo
2026-07-31 17:04:28
0
rachelmahenge09 :
Tafuta hela mwanangu fanya kazi
2026-06-17 19:23:47
4
Enjo🇧🇷🇨🇩🇧🇷🇨🇩🇧🇷 :
💗💗💗
2026-06-16 19:32:47
8
🦋HAILA🦋 :
hivi mapenz ya kweli yp
2026-07-25 07:29:14
1
Dully khan :
Hili goma kali sana
2026-06-13 06:48:16
6
Sallum Sallum John :
wew umempata
2026-07-15 06:48:24
1
Jr 49🥂 :
we unae anakupenda
2026-07-20 10:46:35
0
young kc :
kupendwa bahna raha kuliko kupenda
2026-07-23 17:42:30
3
Timothy Mwanga :
Alaf ajawahi tokea mwanadamu aliye tosheleza kwa mwenzake huwa iyo nafasi niya Mungu amna anaye iweza yeyote ndo maaana penye upendo sana kuna kuumizwa sana
2026-07-18 22:16:52
5
Ricardo :
mungu akupe nini tena ww🙏
2026-07-09 11:41:11
2
xᥫ᭡xo💜 :
nipende Mimi 🥺
2026-06-29 08:53:12
1
Tz_Muu :
2026-06-17 08:47:04
3
Ester Nyabusu :
is true 👍
2026-06-23 09:54:19
2
Cety muhasa :
You are beautiful baby
2026-06-14 05:56:41
3
To see more videos from user @queen.duwe, please go to the Tikwm
homepage.