mara nyingi inanitokea nina marafiki wangu wawili,mke pamoja baba yangu hao watu linatokea jambo hili sana
2026-06-13 08:02:56
0
Norah Thomas :
imenitokea sana
2026-06-13 07:58:45
0
Peter Mathias Swai :
inanitokea sana hata Jana
2026-06-13 10:47:14
0
Official Rully 🇮🇳 🇹🇿♥️ :
Imenitokea🥰
2026-06-13 04:37:27
0
Shatime zainabu :
Imenitokea snaa
2026-06-13 06:01:59
0
NGUNGANE NGWANGWAY MBONDE :
nina mengi juu ya hzi hoja...Hata mechi za mpira,huwa napata matokeo halisi kabla ya mechi,na ile ngumu huwa napata majibu ya mashaka mashaka.hapo najua hi ni tukio zito upande fulani hasa ule unaonihusu...,
2026-06-13 09:20:53
1
Cometland Empire :
mbona we mlaini sana unatowa wapi hizo solid content
2026-06-13 07:45:59
0
paty💋💓 :
me nikimuwaza mtu nikimpigia nitakuta cm inatumika
2026-06-13 11:13:35
0
@Emma Uzur Tz :
👏👏👏
2026-06-13 06:05:52
0
To see more videos from user @rajgi40, please go to the Tikwm
homepage.