@chosenone_tz: Baada ya tetesi kuwa nyingi kuhusu Mimba ya Wema Sepetu na Whozu, hatimaye muhusika Mwenyewe Muigizaji Wema Sepetu amethibitisha kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ana Mimba ya Whozu. Ameshare video hii inayoonesha marafiki zake mbali mbali waliohudhuria kwenye Baby Shower ya mtoto wao. Una kipi cha kuwaambia Wema na Whozu!! #ifm #Mackvoice #zuchu #harmonize
Nataman na mie siku inikute hii hal nataman mtoto YAARAB ANIJAALIE MTOTO MWEMA NA MZUR KWANGU NA KWAKO
2026-06-13 05:37:35
317
BINA COLLECTION :
sasa sijui nalia nn mm na komwe langu🥰🥰😂
2026-06-13 05:20:40
631
Ysnt :
Whozuu ajengewe sanamu lake 🙌🙌🙌🙌🙌
2026-06-13 05:28:45
340
pinner🍭 :
Hii video isipo kutoa machozi ukizeeka utakua mchawi😌
2026-06-13 07:45:57
60
Momo_B :
machoz yananitok mungu nyie
2026-06-13 05:14:41
85
betterfry🦋 :
hakuna jambo linaloshindikana kwa mungu
2026-06-13 05:15:27
704
Teemah 💞💞 :
nimejikuta nalia pia 😥😥
2026-06-13 05:14:15
949
Mrs Abdully Og 🧕 :
kila mwanamke atazaa na ataitwa mama kwa uwezo wa ALLAH, MUNGU akisema hili jambo liwe na linakuwa kweli hakuna wa kuzuia, ni muda sahihi tu ni furaha inayotoa machozi ya furaha, akisha zaa tu mtoto afikishe mwaka mmoja na nusu abebe ingine amiin 🤲😭
2026-06-13 05:34:13
262
cute G💖💋💖 :
jamniii mlio Lia kwa machozii ya furha tujuane kwa likes💖
2026-06-13 07:17:54
28
Reine mère :
Qui a pleuré comme moi
2026-06-13 07:25:50
16
Binti mangi collection :
I am so happy for Wema jmn hadi machoziii
2026-06-13 05:53:57
5
ashaallyjuma515 :
Mpaka nalia 🥰🥰🥰
2026-06-13 06:56:09
1
La Lune 🌓 :
Yooodiiii😭😭😭😭
2026-06-13 06:51:24
1
rahma01094 :
whozu ndio baba wa taifa
2026-06-13 06:20:05
127
ÈÐwïñ_👑 :
Duuh!!! ADI CHOZI LIMENITOKA🥹🥹🥲🥲🥲❤️❤️❤️❤️🙏🙏
2026-06-13 06:06:19
13
Advocate Mwanaidi✨ :
Everything happens at the right time that God has planned for ❤️❤️
2026-06-13 06:06:15
25
🦋Rubby Rubbie🦋🫦 :
so happy for her hadi nalia🥹
na apate wengine wengi🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 06:16:18
18
Zari🕊️🕊️ :
God is great
2026-06-13 07:23:33
7
Addy Addy :
hadi nimejikuta nalia jmni acha Mungu aitwe Mungu 🙏🙏🥹🥹🥹❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥.
2026-06-13 05:37:22
59
Rg_Richie_01💎 :
God's time is the best "All glory be to God"
2026-06-13 07:22:58
7
To see more videos from user @chosenone_tz, please go to the Tikwm
homepage.