@nyayotv: Wema sepetu kupitia ukurasa wake wa Instagram aonyesha video yake ya baby shower,jambo ambalo limezua hisia za furaha kwa watu wengi huku wakionyeshwa kushangazwa na kumshukuru MUNGU kwa jambo hilo kwani hakuna aliyetarajia! Follow us 🙏 #fyp #fypシ゚viral #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #creatorsearchinsight

NYAYO TV
NYAYO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 05:15:35 GMT
194240
22701
1564
960

Music

Download

Comments

officialzay79
zay beauty &Nails🥰 :
hii video ispokuliza ukizeeka utakua mchawi😭🙏🙏
2026-06-13 07:09:52
1405
heem_tz
Heem :
whozu man of the mechi🙌
2026-06-13 07:26:15
148
hadij7371
khadija :
Allah amjalie apate mapacha
2026-06-13 08:47:51
2
winnie.gurthi
Ms.winnie :
Nani kalia Kama mimi jmn dah😭
2026-06-13 06:58:04
954
strawberry.momy
Strawberry momy :
Nan Ameludia kuangalia Zaid ya mara mbili tujuane jomoooon 🥰🥰🥰
2026-06-13 07:33:05
327
officialdivan7
Dee luxe collection 👜 :
Kwa matusi niliyotukanwa ,,ipo siku na mimi nitakuwa kwny furaha aliyonayo wema ,,,, nampenda mno Mungu ni mwema ambarikie zaidi
2026-06-13 07:35:57
337
johary7289
johary :
nimejikuta nalia jmni uyo mtoto wa taifa azwliwe tu jamni
2026-06-13 06:49:22
204
princessiddy7
princessiddy7 :
True definition of "Wakati wa Mungu Ndio wakati sahihi"
2026-06-13 07:25:02
109
graceachiula
madam naah♥️ :
kweli wakati wa mungu niwakati sahihi hongera sana wema
2026-06-13 06:37:21
267
nurumwita94
Nuru mwita :
hakika kila nikimuangalia wema napata nguvu mpya mungu mungu mungu wangu nakuomba yarrab nibariki na mimi nifute haya machozi ya kila siku mungu nione nakuomba hii video imeniliza saana nyie mungu nione na mimi😭😭😭
2026-06-13 08:43:27
30
user6745927219503merry
African Queen💞 :
mungu hatokei kijijn kwao waliokuwa wanamhukumu 🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 07:35:59
60
user74600594177294
SILVIA OFFICIALLY❤🦋 :
waliofurahii kama mm jaman gonga like hapa🙏❤
2026-06-13 08:15:00
37
gracilia.gabu
Gracilia Gabu :
sasa nalia nn jamn ila nimefurahi sana Mungu azidi kukutunza
2026-06-13 06:56:52
137
sofia.love332
❤️Lamborghini Babe♥️ :
prophecy of Ev. Ezekiel from Kenya, God located her vile Inafaa Am so happy 😍😍😍
2026-06-13 09:03:11
3
zayanna81
Zayanna :
why am I crying...very emotional wallahy..mabrouq Wema🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 07:34:36
1
moddysanawy
Mohamed Hassan :
This so beautiful and emotional 😢
2026-06-13 07:31:28
1
user97368157453034
user97368157453034 :
tears of Joy
2026-06-13 07:16:45
1
angelbeaut10
Pretty Angel🕊️🌸🦋🌺 :
Manunua kaondoka malaika katokea 🥰
2026-06-13 07:15:04
10
catherinemoshi837
catherinemoshi837 :
Nimelia sanaaa😭😭😭furaha yangu mimi ni mtu kubarikiwa na Mungu
2026-06-13 07:35:17
32
ummybaby02
ummybaby02 :
Mungu ni mwema hakuna kukataa tamaaa
2026-06-13 07:51:34
22
witnessjoseph432
witty 🥰❤️‍🩹jay💥 :
jmn mbn namm naliaa😭😭
2026-06-13 07:38:35
7
linda99416
Berinda :
Yani nimelia kwa furaha🥺
2026-06-13 06:28:33
70
besteve09
Therealbethy🥰💕😉 :
whozu kuna siku alisem kuna siku atapata mtoto na wema hii kauli niya kishuja sana na imani 🥺🥰🥰 whozu tunashukuru kwa kumpa furaha wema
2026-06-13 07:03:25
147
renee_magambo31
RENEE🔐💋 :
Nimejikuta nalia
2026-06-13 07:19:39
28
To see more videos from user @nyayotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About