Hiyo namba `T 304 CC1` mkuu
Iko hivi
'CC` kwenye namba za magari ya Tanzania inatumika kwa *magari ya Balozi na Mashirika ya Kidiplomasia* — Consular Corps / Corps Diplomatique.
Kwa hiyo `CC1` kwa kawaida ni gari la namba 1 la ubalozi fulani. Mara nyingi ni la Balozi Mkuu mwenyewe. Ndio maana Land Cruiser V8 nyeupe iko na "VIP"
2026-06-13 13:43:03
102
𝔹𝕒𝕣𝕚𝕜𝕚𝕖𝕝 :
Hiyo ni namba ya gari ya Kidiplomasia (Diplomatic/Consular Plate) hapa Tanzania. Inatumiwa na magari ya ubalozi au maafisa wa kibalozi wanaowakilisha nchi zao au mashirika ya kimataifa nchini.
Maana ya herufi na namba hizo kwenye bango hilo ni kama ifuatavyo:
T: Inasimama badala ya Tanzania (kuonyesha gari imesajiliwa hapa nchini).
304: Hii ni namba ya utambulisho wa nchi au shirika la kimataifa ambalo ubalozi huo unaliwakilisha (kila nchi ina namba yake maalum iliyopangwa kialfabeti au kwa utaratibu wa Wizara ya Mambo ya Nje).
CC: Inasimama badala ya Consular Corps (ikimaanisha gari hili linatumiwa na Ofisi ya Balozi Mdogo / Maafisa wa Kibalozi). Kama lingekuwa la Ubalozi Mkuu mara nyingi hutumia CD (Corps Diplomatique).
1: Hii ni namba ya usajili wa gari lenyewe ndani ya ubalozi huo (kwa kawaida gari namba 1 huwa ni la mkuu wa ofisi hiyo au afisa mwandamizi).
2026-06-13 21:05:53
3
deriï :
hio gari ni ya consular corps basically mambo ya diplomats kama sikosei
2026-06-13 20:17:10
2
I'm Henry 🪽 :
wasomi HI 😅
2026-06-13 19:49:16
2
Island boy 🎭 :
jaman tusome jaman tusomeee
2026-06-13 18:35:54
12
Abby Wheels 🚔🚨 :
The Bluetooth device is connected 😂😂😂
2026-06-13 08:16:42
4
rest :
wizara mambo ya ndan🥰
2026-06-13 19:59:15
1
kelvin_Mveti :
Which country?
2026-06-13 13:06:11
3
Raphael Mikkelsen :
Hii mpya sasa watu wanajiamulia mambo😂
2026-06-13 12:23:25
10
Peter Spana :
Lakini Niliambiwa somaaa🫰🫰😎🤏🫸🫸🫸🫸🫸
2026-06-13 18:51:12
1
Smartdj bong :
ccm
2026-06-13 13:18:34
2
beckarobisoncreme :
hapo bila msaada wa comment usitegemee utapa comment unayo itafuta
2026-06-13 20:05:21
1
DAR TO KASULU, 144 :
wizara ya mambo ya ndani🔥
2026-06-13 13:20:49
4
Rk Raj :
kujiamulia mambo😂😂😂😂
2026-06-13 15:49:37
1
Sp@ j :
ccm no1
2026-06-13 16:55:01
1
Denny Kazumba :
device connected 😂😂
2026-06-13 07:32:25
1
rojomzzzz :
😁😁 CC1 tena
2026-06-13 12:33:48
1
ylla,,,,ngasalaa :
gusa unase
2026-06-13 12:58:30
1
Hajuq brown :
Ahaaa😆😆😆😆 siomchezo
2026-06-13 10:42:49
4
Mr. Why ¥ :
Mi ata sijaelewa kitu apo
2026-06-13 09:48:59
1
To see more videos from user @mmwtv5, please go to the Tikwm
homepage.