Hakika nashkuru mungu kwakunionhoza kuchukua maamuzi sahihi maana ndio haliangu yasasa niko namtoto mmoja nilitoka kwa ndoa Sai mwaka watano natifutia mwanangu naomba mungu anijalie nipate fedha yakulea mwanangu bila ya kutegemea mtu hata nikipata mchumba mwengine niwe nikona kipato changu vizuri🙏🙏🙏
2026-06-23 04:37:33
2
❤️💞🤍💕 :
Asante baba nipo na watt wawili baba yao aliaga dunia sina haraka na mahusiano mwaka wa 5
2026-06-13 15:40:46
7
selfconfident100 :
Asante sana I love you so much 💋Nina na watoto watatu, nikama unanishauri mimi peke yangu na tuko wengi TikTok 🥰🥰
2026-06-17 11:16:58
2
sallhaa :
ndio kitu kinachonifanya niogope kuwa na mwanaume Tena baba naogopa sana Bora nilee wanangu tuu nikomae kutafuta pesa zaidi🙏
2026-06-20 16:49:25
1
loy :
Baba Mungu akubariki
2026-06-13 14:33:32
2
petty 🥰 :
ndo wazee tunaowaitaji vijana sisi, Mungu akubariki baba
2026-06-16 18:37:27
2
Ester Bryson :
asante kwa ushauri baba
2026-06-13 19:35:53
1
mamake myke :
Asante
2026-06-15 22:10:03
1
mama magufuli :
kwakweli baba Asante kwaushaur
2026-06-21 13:23:24
1
aisha Steven :
kabisa kaka
2026-06-15 11:54:46
2
Garmiller Ikunger🌹💞 :
Asante
2026-06-14 12:14:36
1
ericjunior0 :
kweli kabisa ubarikiwe sana
2026-06-16 10:07:30
1
Zaynab said :
mungu akupe umri mrefu uje utufunze zaid
2026-06-18 07:25:29
1
brilliant :
nimeongezea nguv hapo asante kunakitu umeniongezea akilini
2026-06-16 09:31:50
1
mama twins 001 :
Asante sana kwa ushauri wako ❤️
2026-06-14 02:02:24
1
riziki hamisi :
Asante sana
2026-06-13 21:59:18
1
alhamdulillah :
kweli asante sana unatufunza mengi
2026-06-13 19:32:57
1
Glory Fed :
hakika
2026-06-14 14:22:04
1
pendo lis. :
Nimependa ushauri jamani.Asanti
2026-06-13 17:31:45
1
wisemama :
nahisi kama unayaona maisha yangu Asante sana naendelea kupambana na naogopa sana mahusiano mapya naogopa sana NDOA
2026-06-14 23:29:24
3
mwanashanyevu6 :
umenisaidia sana asante
2026-06-15 16:44:38
1
Ummuh Rayaz :
ushaur mzuri sana sana sana mungu akubariki
2026-06-13 18:15:32
4
jazila :
Nimekupenda sanaa baba Kuna kitu nimejifunzaaa🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 10:08:34
1
Phet Ty :
Barikiwa baba
2026-06-13 13:41:55
2
ROSSY(Mtoto wa TESO) :
Asante baba kwa shauri nzuri
2026-06-13 18:00:38
4
To see more videos from user @mwaipajatz, please go to the Tikwm
homepage.