@focustvtz: ‎Shopping Mall ya Kwanza ya Kifahari yafungua Ukurasa Mpya wa Maendeleo Iringa. ‎ ‎Mkoa wa Iringa rasmi unaingia kwenye ukurasa mpya wa maendeleo, fahari, na urahisi wa maisha, ambapo Kwa mara ya kwanza kabisa katika historia ya mkoa huu, milango ya ununuzi wa kisasa imefunguliwa kupitia Shopping Mall mpya ya kisasa na ya kiwango cha juu. ‎ ‎Mall hii mpya na ya kipekee imekuja kuwapa wana-Iringa uzoefu wa kipekee wa ununuzi ambao walikuwa wanaufuata mbali. ‎ ‎Mall hii inapatikana ndani ya Manispaa ya Iringa, kwenye jengo la Asas Tower, karibu na Karakana ya Toyota na Ofisi za Njombe Express. ‎ ‎Iringa Shopping Mall ni mahali ambapo ubora unakutana na unafuu wa kweli, na thamani ya Pesa Yako inaonekana Wazi kwa manunuzi ya Heshima. ‎ #FocusTVTanzania

Focus TV Tanzania
Focus TV Tanzania
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 06:11:28 GMT
61105
2743
75
489

Music

Download

Comments

blessedgirl647
BG- PURE CASTOR OIL 🪔 :
ipo sehemu gan
2026-06-13 06:45:49
12
blackbirddee8
Black bird@Dee :
Looking for some friends iringa🥺
2026-06-13 13:56:56
3
mr.luts6
MR.LUTS :
mtu wa media unasema HASASI tawa... 🙌🏽
2026-06-13 12:25:35
3
prophetgodwinmesha
PROPHET GODWIN IRINGA 🦅 🦅 :
FAHARI YETU IRINGA.🥰
2026-06-13 16:44:05
2
frank.sinatra0551
frank Sinatra :
mnajua mall nyie😂😂😂
2026-06-13 13:34:31
4
matlaishams25
Montreal'z gurl :
hiyo ni super market au mall
2026-06-13 09:34:11
5
farajagirl
Faraja@churchgirl :
Ama kweli Nguluvi atuwene, twiyahwe🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-13 11:27:17
2
tunuabraham35
tunuabraham35 :
imesha funguliwa?
2026-06-13 07:37:42
3
mariamkissi166
Mariam Kissi :
Asante kwa alieona tunastaili Hilo 🙏♥️
2026-06-13 13:42:28
2
mofrajokasa
monicar :
Tumeheshimishwa wallah
2026-06-13 17:01:14
1
becoming053
Bossed by Grace 🎀 🦢 :
Hasbunallah 💪💪💪❤️
2026-06-13 14:57:40
1
babamwema06
Baba :
Hii shopping mall ya ASAS!
2026-06-13 09:39:32
0
user22100201927526
robbie :
kumbe ndo leo
2026-06-13 07:33:04
1
amandabalama1
Amanda g :
hakuna haja ya safari
2026-06-13 15:13:38
1
mery.aloni
mery aloni :
ipo sehem gani 🥰🥰
2026-06-13 11:18:59
0
felista.malisan
felista malisan :
ngoja sasa niende
2026-06-13 09:31:17
1
iringa_sofa_cleaning
IRINGA SOFA CLEANERS :
safi sana tutakuja
2026-06-13 09:19:46
1
oh_products_
OH PRODUCTS :
Nimeona vitu vyangu😍
2026-06-13 08:00:17
1
fedricknyalusi
Fede valvede boe 🔥 🔥 :
good
2026-06-13 06:48:46
1
enjo.wanjiro4
Enjo Wanjiro🇹🇿🇴🇲👌🙏 :
ahsanteh sqnaa
2026-06-13 10:05:23
0
user1779617342282
Merryn nyemeke ❤️ :
ahhhh
2026-06-13 13:40:50
0
ryl_hadley
vyper smith :
bei zake ni rafiki kwan
2026-06-13 19:13:44
0
msnaahnaah
Ms Naah :
Asante mung
2026-06-13 17:48:31
0
twiga255
TwiGa🇹🇿 :
IPO wapi Mimi nipo ap rucu jmn siioni
2026-06-13 17:58:05
0
user1900215759255
Rosemary :
Twiyaweeeee
2026-06-13 10:54:19
1
To see more videos from user @focustvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About