@thewindsor_fly: 🚨 Watu wengi wanadhani kupata kazi nje ya nchi ni ngumu, lakini ukweli ni kwamba kuna nchi ambazo zina nafasi nyingi za ajira kuliko unavyofikiria! Tazama video hii ujue nchi rahisi zaidi kwenda kufanya kazi mwaka huu, ikiwemo nchi za Kiarabu zinazopokea wafanyakazi wengi kutoka Tanzania. 🌍✈️ Ni nchi gani ungependa kwenda kufanya kazi? Andika #tanzaniantiktok🇹🇿 #jobs #viral #middleeast #visa

The Windsor Recruitment Co.LTD
The Windsor Recruitment Co.LTD
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 06:38:34 GMT
49814
2808
199
270

Music

Download

Comments

user73140268184laylath
🥀Lay lady🍒 :
kuanzia umri gn?
2026-08-13 21:41:03
0
trendybobbyrapper
@trendybobbyrapper :
Za derivery zipo?
2026-08-02 21:03:47
0
user2598101160709
user2598101160709 :
kam sina paspot naszaje kaka
2026-07-07 05:44:39
0
user4096132497675
@dilanyra🇹🇿🇱🇧 :
mimi naitaji
2026-08-09 13:16:10
0
eva.shirima74
Eva Shirima :
mm nataka
2026-07-03 09:49:53
0
cheppy.mazengo
Twins 🇹🇿 🇸🇴 🇴🇲 :
saloon vp kaka? nina pass tyr
2026-07-16 20:02:41
0
rajiikhan45
#Rajabu :
nahitaj
2026-06-30 06:40:40
0
the.othborn
ISOTE style💥🕳 :
kaka tunaomba msaada wenu
2026-07-23 19:43:18
0
hawa26086
❤️Hawa❤️ Hussein ❤️ :
mm naomba ya hotel kama ipo kuhusu passport ninayo nataka Dubai
2026-08-04 15:29:16
1
faridambwana.2016
Farry dimpoz tz💕 :
napataje
2026-06-24 07:21:49
0
user4654012706387
user4654012706387 :
mm nahitaji lazi hla sina paspoti
2026-07-08 11:27:58
0
anithamahina
Anita mahina :
Kaka nakupigia simu unakata
2026-07-28 15:39:30
0
wanjukkks
سلم رجل الي :
mm NNa paspot ila sina pesa
2026-07-10 16:59:09
0
jacobmashimba
user7386933534419 :
vipi kuhusu vigezo vya elimu?
2026-07-28 14:16:37
0
mwjma.zenge
ROY.HS :
nataka
2026-06-24 17:30:44
0
user30838558081816
kingi :
jmn mm natak kz kk
2026-07-14 19:31:06
0
adededajunior
Aden da junior :
Ni free??
2026-06-25 16:36:35
0
ally.nyika2
Ally Nyika :
naomba
2026-06-24 08:20:47
0
alya.laizera
Alya Laizer🇹🇿💜🇴🇲 :
minajitaj Canada
2026-06-18 15:29:33
10
petermhozya
Peter mhozya :
tunaomba jamani mtusaidie🙏
2026-07-18 06:27:18
1
juma.mssa65
Juma Mssa :
kaka nisaidie nipate kaz
2026-07-15 11:40:19
0
eldanwapaster2
Eldan Wapaster🇹🇿🇺🇸 :
mimi nahitaji sana, tatizobtu ninauli
2026-07-17 13:08:43
0
quruthumu4
Quruthumu🔥♥️♥️ :
mm naitaji paspot ninayo
2026-07-18 15:35:36
2
daud.mohamed21
Daud Mohamed :
mie niko na paspot ila xina uwez waviza
2026-07-07 19:38:02
0
sultanibangusilo
sultan Bangusilo :
mko wap
2026-06-20 05:26:25
0
To see more videos from user @thewindsor_fly, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About