@blessingria4: #trendingvideo #wemasepetu #wemasepetugallery #viralvideo #fypシ

💥BlessingRia🦋
💥BlessingRia🦋
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 06:59:22 GMT
26265
2183
68
39

Music

Download

Comments

pritty196
@Itz_honeybadger🦨 :
😭😭Ila Mungu mwacheni aitwe Mungu
2026-06-13 08:44:39
23
mum.sk0
mum SK :
sijaona kajala 😳 congratulations girl 🥰🥰
2026-06-13 15:16:11
2
nayqween8
nay qween :
dah had nimelia
2026-06-13 16:45:49
1
gal.toto14
Mariam zu :
God of mercy thank you 🙏
2026-06-13 14:54:17
1
user2147825108869
Angel :
nimelia kwa frahaa jaman kupitia hii baraka na mimi Mungu ukanione na mm nikaitwe mama Mungu wangu
2026-06-13 14:10:53
6
umyahya8678
umyahya :
wallah nimelia kwa furaha mungu akamfanye mtt akawe mtt mwema
2026-06-13 08:36:37
10
fatma.shaffi
Fatma Shaffi :
Allah ni mwing sanaaa wa rehma Mashaallah allah akujaaliye🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 09:00:19
6
user6144135662581
Françoise ,1🌹 :
emungu asante 🙏❤️🥰❤️🥰❤️🥰
2026-06-13 15:58:31
1
hady.love7
deeh🧸♥️ :
kwery nimeamin furah ya duniani ni mtoto mungu wajalie wanawake wote weny uwitaj wa watoto nimefurahi ssna🥰🥰
2026-06-13 15:10:53
3
leah.s.h3
leah S H :
mwanaume kafanya kazi hongera sana kaka umemueshimisha sister
2026-06-13 14:20:09
2
ladymushi17
~Ladymushi🦋💞 :
Kwanza whozu kajuwa kutuheshimisha sisi wachaga ❤️🫶🙏
2026-06-13 17:41:28
2
fromfyt
Middle girl 🧕 :
mmeamua kunitoa machozi walaah😩😩
2026-06-13 12:42:35
6
saudatymussa
Prettydatty🥰🦋 :
Mungu mwema ww 🙏🙏🙏🙏😪🥰🥰
2026-06-13 12:28:52
3
baby.gee.c
miss gee🦋 :
Hii vdeo ina emotional sana🥰
2026-06-13 14:15:56
2
barbie...angel
angel :
nimetoa had choz jamn😭😭
2026-06-13 15:21:18
1
nazreen.majeed
Nazreen Majeed :
i'm crying see this
2026-06-13 13:31:35
5
blesstheonlyone
Bless🤍 :
nimelia kwa furaha May God Almighty be with you every step of the way.
2026-06-13 12:25:09
3
smilesslay
smilesslay :
awww🥰🥰she expectant Mashallah
2026-06-13 08:32:40
3
user3793413205399
user3793413205399 :
Inalizaa hii jmn mbona hivii 🙏🙏😭😭
2026-06-13 12:33:59
2
donatira02
kiwewe🖤 :
jamani mbn sijamuona kajala?
2026-06-13 14:08:04
1
neycute720
neycute :
mungu ni mwema kila wakati hongera dada mungu kakupa hitaji la moyo wako
2026-06-13 13:36:50
2
li.ght697
@li.ght697🎀 :
Asante Mungu kwaajili ya dada Wema umewafunga midomo wengi na umfanyie wepesi ajifungue salama ikiwezekana ajifungue mapacha 🥰🥰
2026-06-13 10:39:52
2
mamyadriella
Queen Lilian :
wakati wa mungu nisahihi sana
2026-06-13 08:26:24
2
vanessa.athumani
Vanessa Athumani :
Mungu akuvushe salama dada
2026-06-13 09:07:06
1
hanniyah007
hanniyah collection :
chozi limeniktoka Wallah hongera kipnz🥰❤️❤️
2026-06-13 12:18:23
1
To see more videos from user @blessingria4, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About