kama wema amepata mtoto na mimi naamini nitapata kazi tena nzuri😍
2026-06-13 08:46:16
190
Carolenee Peter :
Tulio lia machozi tujuane jaman mm bado naumia
2026-06-13 08:42:24
133
Nickita :
Am happy for you dear 🥰
2026-06-13 08:17:35
2
pretty Arya💫💰 :
mpaka mwili umesisimka jaman mungu amlinde wena na mwanaee 🥲
2026-06-13 09:52:30
21
Rey jojo :
acheni mungu aitwe mungu
2026-06-13 08:46:36
15
usher :
yani uyu wema kam ndugu yng vile najikuta moyo unanisisimka kwa jinsi nilivyo kua na furaha kuon iko kitumbo wale wanao sema mungu awaishi wala achelewesh gonga like
2026-06-13 09:50:19
17
Hilda Mbowe :
Amen mungu akaendelee kuwatunza na lango lake la kwanza likawe baraka ktk familia yk 🙏
2026-06-13 08:36:45
19
wema ndigeze :
Bora dada angu umepata mimba na Mungu akusaidie upate na mtoto pia
2026-06-13 09:58:47
7
Pamqueen👑wina..Gt1🥰♥️ :
wakat wa mungu ni wakati sahihi tuwe na subra mwenyez mungu amtupi mja wake🤲🤌