@bondeicon_brand: "Siamini kama hii ni kweli 🥺. Leo nimepata nafasi ya kukutana na idol (shujaa wa maisha yangu), Cristiano Ronaldo. Mtu ambaye hakunifanya tu nianze kucheza mpira wa miguu, bali pia alinipa motisha ya kufanya kazi kwa bidii, kujiamini na kutokukata tamaa. Ni msukumo wa kweli kwa watu wengi sana. Hii ni siku ambayo sitaisahau kamwe. Asante Ronaldo kwa kuwa mkarimu, asante Ureno kwa ukaribisho mzuri, asante Michiel kwa kuwa nami kila wakati, na shukrani kubwa kwenu nyote kwa kuniunga mkono kila siku. Na kama bonasi nzuri, kuna jambo jingine pia linakuja kesho... Siuuuuuu 🐐 (Mbuzi - akimaanisha GOAT, yaani bora wa muda wote).".. AMEANDIKA BIDADA @Celine Dept #bondeiconbrand

Bonde Icon Brand💠
Bonde Icon Brand💠
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 07:21:01 GMT
13132
484
7
2

Music

Download

Comments

patrickjosse06
patrick Josse :
AI
2026-06-13 09:35:30
1
messiah2551
@messiah king 🤴 :
obrigado
2026-06-13 08:42:15
1
marry.temba0
marry temba :
🥰🥰🥰
2026-06-13 14:01:26
1
mzazi482
Mzazi :
🥰🥰🥰
2026-06-13 16:00:40
0
To see more videos from user @bondeicon_brand, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About