@islamicswahilinet: UKISHTUKA USIKU UKASEMA MANENO HAYA, BASI UKIOMBA DUA YOYOTE INAJIBIWA As-salaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Ndugu zangu katika Uislamu, tunamshukuru Allah (SWT) kwa kufikisha hatua hii ya ujenzi wa Msikiti wa Utengule, ambapo msingi, kuta na boma tayari vimekamilika. Hata hivyo, bado tunahitaji juhudi za pamoja ili kukamilisha sehemu muhimu zilizobaki kama karo la maji taka, vyoo, sehemu ya kutawadhia, pamoja na kazi za mwisho kama milango, madirisha na mazulia ili msikiti uanze kutumika kikamilifu. Tunaomba mchango wako wa sadaka ili kusaidia kukamilisha nyumba hii ya ibada, kwani kila mchango una thamani kubwa mbele ya Allah. Kama ilivyoelezwa katika Qur’an (Surah Al-Baqarah 2:261), anayetoa katika njia ya Allah hulipwa kwa wingi usio na kifani. Hii ni fursa adhimu ya kuwekeza katika akhera na kujipatia malipo makubwa kwa kushiriki katika ujenzi wa msikiti huu. CHANGIA KUPITIA NAMBA: M-PESA: 0769 756 490 YAS | MIX: 0715 868 990 HALOPESA: 0619 115 190 JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 07:27:34 GMT
215486
24410
92
1971

Music

Download

Comments

nimaah6
Sanaah. :
laillaha illallahu wahdahu laa shariika lahul Mulk wa lahul hamdu wahuwa alaa kulli shay -in qadiir Alhamdulillah wa subhanallahu wa laillaha illa llahu waAllah Akbar,walahaula walakuwwata illa billah. Allahumma ghufirlii
2026-06-13 13:04:54
184
fadhilihamisi486
Fadhili Hamisi :
.:laillaha illallahu wahdahu laa shariika lahul Mulk wa lahul hamdu wahuwa alaa kulli shay -in qadiir Alhamdulillah wa subhanallahu wa laillaha illa llahu waAllah Akbar,walahaula walakuwwata illa billah. Allahumma ghufirlii
2026-06-13 17:00:15
23
aran.official4
Aran official :
ukishtuka saa ngapi mpaka saa ngapi kwa anaye jua
2026-06-13 20:55:15
6
weshgal7
🌸weshgal❤️ :
shuqran🥰...eenh yarabby nifanye niwe ambae naifahamu dini yang
2026-06-15 04:02:15
10
amilah70939
Amilah :
Mashallah Mashallah, thank you🙏
2026-06-16 01:46:21
1
khamidakarama0
khamida :
Laila hailallah
2026-06-13 08:29:38
9
fredrick.kashanga
Fredrick Kashanga :
shukran
2026-06-13 07:40:25
10
nanahmuuh
suhayla 💝💞 :
baraka llahu fiih
2026-06-13 08:00:08
11
princess.salsha.s
Princess Salsha Salim :
SAW
2026-06-14 18:15:10
2
jimalemohammed0
jimalemohammed0 :
scw scw scw scw scw scw
2026-06-14 15:29:26
2
beibywcxb77
beibywcxb77 :
s a w s a w s a w s a w am
2026-06-16 01:27:55
1
antonamir44
T.O.N.Y :
Amiin
2026-06-13 16:17:55
6
abdully007
عبدالرحيم فاضلي :
jazakallahu khair akhy Allah akulipe UJIRA ulio Bora kwa ILMU hii kubwa
2026-06-13 13:35:45
5
user8034138263235
user8034138263235 :
S.A.W
2026-06-14 19:02:16
1
mr.ivan4579
Mr Ivan :
Amen
2026-06-13 12:56:40
4
abdinass4
abdinass9 :
Jazak Allahu Khairan
2026-06-15 22:23:18
1
faa3868
Faa :
shukran
2026-06-15 03:20:58
3
idrisamohamed65
idrisa65 :
s a w.
2026-06-13 16:05:49
3
user9033183782741
Ahmed :
alhamdulillah nilijibiwa
2026-06-17 05:36:23
1
officialtatti5
official tatti :
s a w
2026-06-13 13:52:11
3
minerth4
-asul❤️ :
Kam nikiweka Alarm je ….?
2026-06-14 14:12:41
2
khamis4761
khamis :
shukran jazra
2026-06-13 12:55:24
4
kassimali309
Kassim Ali :
ameen
2026-06-13 17:39:56
1
user2536373481981
011 :
S.A.W
2026-06-13 17:40:24
1
user37382741629904
Middo 45 real :
amiin🙏
2026-06-13 20:05:34
1
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About