@hamasikatv: Upendo wa kweli mara nyingi unadhiirika wakati wa shida, ukiwa na raha huwezi kugundua kwa sababu kila mtu anakupenda - @baraka_mpenja

Hamasika Tv
Hamasika Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 07:28:17 GMT
30118
1427
12
181

Music

Download

Comments

user24024190945116
user24024190945116 :
Huo ndiyo ukweli,ukiwa na shida na matatizo lukuki ndy utamjua anaekupenda.
2026-06-13 09:04:33
3
o_s_a_k_a_
O_s_a_k_a_ :
Ukitaka kujua marafiki wako ni akina nani; pata shida, mkasa au ugonjwa.
2026-10-15 09:04:39
0
patrickmwaniki700
Patrick Mwaniki :
umeongea baba ongela
2026-08-08 09:20:16
0
allanmdoto
Allan Mdoto :
hakika
2026-06-13 20:59:01
1
user8442301961252s
Naa :
Hata mume ukitaka kumjua anakupenda kwenye matatizo
2026-06-23 15:03:31
0
user7747981307509
Aivan Rwehumbiza :
ni kweli kabisa kak
2026-06-21 08:43:55
0
user7720747110262
Omary :
hakika broo upo sahihi kaka
2026-07-10 11:31:49
0
secretmission..b4u
secret mission, B4U :
2026-06-15 17:41:08
0
user233619672197
[email protected] :
kweli baba maneno yako
2026-06-13 18:45:08
1
faymummy1
faymummy1 :
ulihamia kunifitinisha au?
2026-06-14 14:13:36
0
itsmagda1
It’s Magda :
🥹😫😊😫😊😫❤️😫😫😫❤️😫😊🤗😊🤭😊🤭😊🤭😊🤭🤭🤭🤭
2026-08-07 05:40:46
0
mashallahglassalum
Mashallahglassaluminium :
🥰
2026-08-20 21:16:14
0
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About