mh subhanallah natesek sn allah aninifadh na aniondelee
2026-06-13 09:57:11
4
bin fakih :
safakta mkuuu....
nipo Europe mwaka wa 10 ila ata kiwanja cna huko home.kila cku shida za familia....na hizo ndoto ndio maisha yangu haipitiweek
2026-06-13 10:09:38
3
user5024751947177 :
Tiba yake nn
2026-06-13 12:45:42
1
Taliso.....…^^^^^^^ ......shoe :
ndo mimi huyo
subhanaAllah
2026-06-13 10:09:30
2
Mamuu Ummu :
kuna mwengine anaogelea
2026-06-13 08:05:59
2
datuu :
ndoto za shule mm had nimechoka nimemalizaa 2015 lakin sasa hadi sasa naona shule mara text mara mtihani wa taifa had nimechoka na huwa sipendi mambo ya shule mm
2026-06-13 14:53:26
0
Zuhura Kumbuka jalala :
Tunaomba namba ili tuje utusaidie
2026-06-13 15:18:03
0
𝐻𝑜𝑛𝑒𝑦𝑦𝑦𝑦 ᥫ᭡• :
Kila nkisomewa wanarudi mwilini nime give up nimechoka wallah
2026-06-13 14:14:31
3
Zainab Saidi :
uyo ni mm kabisa
2026-06-13 15:48:44
0
@Aqurius girl🧚♀️ :
Sasa Shekhe unapatikana is api
2026-06-13 13:29:04
0
Yahaya Mwalimu :
ndoto zote naona mm
2026-06-13 14:31:43
1
nyellomandia0 :
tufanye nini shekhe ili tuppone?
2026-06-13 12:27:45
0
user6848810958134 :
Tiba yake ostadh
2026-06-13 12:04:12
0
Isma :
mkuu tueleze na tiba yake plz
2026-06-13 07:58:23
1
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm
homepage.