sauti nimeskia imeongezeka nikajua nimeongeza mm kumbe sauti ya mama
2026-06-13 10:01:07
17
Mjereza💫💤💥💤💥💤 :
Ridhiki yamtu inatokana namtu mungu akubaliki brother so uwe namoyo huo huo wakutoa M.mungu akupe kila hitaji lamoyo napenda sana watu kama nyiny so 🫡🫡
2026-06-13 14:12:04
8
J i M M Y 😎🤏 :
Mtume s.w.s alisema mengi ila moja ktk alio yasema.. ألبر ليبر Wema hauozi 🙏
2026-06-13 12:57:41
15
Chameleon🦎 :
Kaka kwa hilo, Mungu akubariki wewe na uzao wako🙏
2026-06-13 14:33:56
11
Brightness money cash 🍁🎶💰 :
Ibrahim naomba nioe baba🥺 una moyo
2026-06-13 16:01:36
16
RASHAS :
one love broh
2026-06-13 10:06:30
14
𝐌.𝐀.𝐍 :
nice bro
2026-06-13 15:57:40
1
Amrimngapuka :
mungu akuzidishie ulipo toa kaka🙏
2026-06-13 09:33:49
31
Rimboh Brizzy✌️ :
bless up
2026-06-13 17:56:27
1
Sulexh mauwezo :
watu kama awo wanastahili zaidi ya hio bro sema big up
2026-06-13 09:23:08
55
Its_Monx :
the reason i want To be Rich
2026-06-13 17:00:43
1
haji charby😃 :
hyo dua allah ameipokea kaka rizki zako mungu anazijaza kwa kwadri anavyokuombea hyo mama na kadri unavyotoa....allah wajaze nguvu wamama wote duniani🥰🥰🥰 ameen inshallah
2026-06-13 10:09:23
51
Othumani Lilai :
be blessed 🙌
2026-06-13 18:27:24
1
Jeyman Chicharito Fabionso :
Daaah nalia nini sasa mimi..
2026-06-13 18:02:04
2
ManOfThePeople :
tusiache kuwasaidia mama zet wanapata sana shida daah
2026-06-13 19:17:24
16
Hashimu Thabeet :
may Godbless u bro🔥
so emotional
2026-06-13 19:29:07
3
Jafary :
one love
2026-06-13 18:20:40
1
General Kiduku5 :
Kaka kiukweli sina mazoea ya kukoment kitu chochote ila kwa hili jambo ALLAH AKUJAALIE RIZKI ZAID NA ZAID