@mwlrenald.mlawi: Watu wana wakati wa usiku katika maisha yao, lakini ipo Nuru yenye kuondoa usiku. Na siku zote nuru huishinda giza. Ninakuombea leo, kila giza la huzuni, magonjwa, madeni, kukataliwa na kushindwa katika maisha yako liondoke, na nuru ya Mungu iingie katika maisha yako. Na iwe nuru katika maisha yako, familia yako na kazi zako. Ninakuombea kushinda katika Jina la Yesu. #nguvuyamaombi #fyp #iman #yesunibwana #tiktoktanzania🇹🇿
Mwl Renald Mlawi
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 08:06:52 GMT
Music
Download
Comments
sikitu :
amen 🙏 amen
2026-06-14 12:15:09
0
hildakanini :
Na iwe nuru katika jina lenye nguvu na uwezo la yesu krito
2026-06-14 21:16:54
0
Betty :
Amina 🙏🙏🙏🙏🙏
2026-06-14 12:02:35
0
lea :
amen
2026-06-14 20:05:00
0
Ever Nasambu :
Amen 🙏
2026-06-14 16:21:29
0
jesusisking :
NA IWE NURU KATIKA JINA LA YESU KRISTO .AAAAMEN
2026-06-14 12:44:45
0
Prisca Kilua :
Ameen
2026-06-14 19:27:35
0
kawira :
amen 🙏 naiwe Nuru katikamaiisa yangu
2026-06-14 16:03:28
0
Dorrie Sirma♥️ :
Amen na iwe nuru katika maisha ya kwangu
2026-06-14 18:42:55
0
user4013655053077arlettekalumb :
amen
2026-06-14 18:57:37
0
Nyota ⭐️⭐️⭐️✨ :
Amen 🙏
2026-06-14 15:13:43
0
JACKIE jackline :
na iwe nuru katika maisha yangu
2026-06-14 15:07:05
0
natasha@ann :
Amen
2026-06-14 14:08:31
0
nicempmlh06 :
naiwe Nuru katika maisha yangu
2026-06-13 08:17:03
1
eve kavuo :
amen
2026-06-14 11:24:52
0
Nice Mashele :
Na iwe Nuru kwenye maisha yangu
2026-06-13 08:21:43
1
madame bonheur :
amina
2026-06-13 08:08:12
0
Olive :
Na iwe Nuru kwenye maisha yangu. Amen
2026-06-13 08:35:18
1
marqio :
Amen Amen Amen na iwe nuru kwenye maisha yetu...mimi na uzao wangu
2026-06-14 11:05:44
0
cash money :
na iwe nuru katika maisha yangu, Ameeen barikiwa mtumishi wa Mungu
2026-06-14 10:44:34
0
cash money :
Ameeen
2026-06-14 10:40:41
0
Teddy cosmetics :
Amen
2026-06-14 09:25:17
0
user8595573709351 :
Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏
2026-06-14 08:32:30
0
Magrate Ackim :
naiwe Nuru maisha ya kwangu
2026-06-14 22:46:41
0
To see more videos from user @mwlrenald.mlawi, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.