@imperialpharmacytz: KARIBUNI IMPERIAL PHARMACY Tunatoa shukrani za dhati kwa wote waliohudhuria na kuunga mkono hafla yetu ya ufunguzi rasmi. Uwepo na sapoti yenu umetupa nguvu ya kuanza safari yetu ya kuwahudumia kwa ubora, weledi na uaminifu. 📍 Tunapatikana: Dodoma, Makulu Oysterbay, Barabara ya UDOM Huduma Zetu: 💊 Dawa za matibabu zilizoidhinishwa 🩺 Vifaa tiba vya ubora na uhakika ✨ Vipodozi vya ubora kwa matumizi ya kila siku 👨⚕️ Ushauri wa kitaalamu wa afya 🕒 Saa za Kazi: ⏰ Kila siku | Saa 1:00 Asubuhi – Saa 6:00 Usiku 📞 Mawasiliano: +255 687 802 508 #creatorsearchinsights
Imperial Pharmacy Tanzania
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 08:09:58 GMT
Music
Download
Comments
happnecy_vagas :
hapa nitapata panadol za buku kweli????
2026-06-13 08:26:29
15
Jada🌸 :
Huyu dada mlomuajiri wala hamjakosea asee alikuwaga pharmacy moja hvi maeneo ya huko huko asee kanahuduma nzuri haka kadada jaman 🥰
2026-06-15 16:39:51
3
TipsNaPhen :
living Dream😏
2026-06-14 16:44:55
1
Thomas.Spotfx :
Pharmacy imenyooka.. congratulation 👏👏
2026-06-13 20:24:50
8
Emmanuel kipanya :
Hongereni ongezeni muda wa huduma iwe 24hrs ingependeza zaidi
2026-06-15 18:23:39
1
Blaster :
looking good
2026-06-14 06:28:12
2
Veronicer🍀🩵 :
Hv kwa nn pharmacy hazitumii bima jmn😭😭😭😭
2026-06-14 06:12:33
8
mrs.mfupa :
Naomben kaz jmn ya pharmacy technician
2026-06-14 12:45:26
1
Mr Kamuntu😇 :
24hr inapendeza zaidi
2026-06-14 09:31:50
2
kisererajaphet :
watu wanawekeza jmn
2026-06-14 07:37:50
2
Pinna :
hongereni
nimependa bisnes name🥰
2026-06-14 10:05:44
1
it's me🤫 :
watu wanahela jamaniii
2026-06-14 07:27:07
1
Young G :
nataka Panadol za buku, mnafanya delivery nipo dar
2026-06-14 04:39:57
4
Sadriii 🦋💕 :
mie naomba kazi 🫣
2026-06-13 18:22:52
1
winnie🥰 :
woooo hongera kaka angu ,tupo pamoja 🥰
2026-06-13 18:49:33
3
Matildernambuo :
wamiliki wa Imperial soap😅🥰
2026-06-15 09:00:45
1
PaschalMp :
kujieleza na nini.. ni pharmacy au dispensary 😂 mmeanza kujiamulia mambo
2026-06-14 07:59:43
0
ney :
naombeni kazi as pharmaceutical technician am full lincenced,,natumaini uwezo na uzoefu wangu utaleta matokeo chanya kwenye taasisi🤗
2026-06-14 14:15:41
0
Mjemawinee :
nitamini siku moja na mimi🥰🥰🥰
2026-06-13 18:32:13
4
Salama Rama :
Ajira sipati jaman🙏
2026-06-13 17:58:31
3
Dr_Kaswaga :
Masha ALLAH.. Hongereni
2026-06-14 07:16:07
1
Pharmdawa :
Hatari🔥
2026-06-13 17:32:45
1
Dr Leo :
Soon.... congratulat chief
2026-06-13 09:06:28
2
🥂Mimi🌤️ :
Mariam 🥰 very humble as always🩷🩷
2026-06-13 14:59:31
4
cute dolly❤️🫂 :
Naomba nafasi ya pharm technician
2026-06-13 18:38:14
2
To see more videos from user @imperialpharmacytz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.