@aseerelhawa: Moja ya qaswida iliyogusa mioyo ya wengi, Hubbushuhuur, iliyoimbwa na Munshid Abdillah, Itaimbwa LIVE katika ukumbi wa Diamond Jubilee, Upanga, Jumamosi tarehe 20/06/2026. 🎟️ TIKETI: 👑 Royal Table (watu 8) – Tsh 1,000,000 💎 Royal – Tsh 100,000 ⭐ VVIP – Tsh 50,000 🌟 VIP – Tsh 25,000 📞 MAWASILIANO: +255 683 978 606 | +255 719 167 176 | +255 714 525 554 ⚠️Usisubiri kuhadithiwa! #HiiSioYaKukosa #UsikuWaFaraja2026 #Hubbushuhuur #DiamondJubileeUpanga
bull bull albusry
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 08:15:34 GMT
Music
Download
Comments
iam kinero :
umesubir niondoke dar ndo uende ila subir hii ntalipiza maarif day in shaa allah
2026-06-13 14:22:32
1
nondo :
moyo wangu unapiga kelele kama vile tetere juu ya mti , kwa mapenzi yenye utukufu bas nakosa usingizi 🥹
2026-06-13 12:17:11
4
𝖓𝖆𝖉𝖉𝖞 𝖓𝖎𝖈𝖐☘️🍀 :
mashallah 🙏🙏jina la qaswida
2026-06-13 14:14:57
1
Abayat Ruutz :
ili kuja wakati sahih Sana 🥹🥲 yakunituliza machungu
2026-06-13 13:45:34
1
sleman05 :
mapenzi niliokutana nayo yanatosha kuwa Ni ulevi 🥰
2026-06-13 14:36:01
1
alkhajjeey :
Tiba ya moyo🔥🔥
2026-06-13 13:38:17
3
bint mohd :
mashaallh siku nazifike walai wenye maharif yetu turinge nayo sijutii jaman kuwa mwana maharif
2026-06-13 09:05:44
4
IbnuAjrumiy :
yaa salaam
2026-06-13 11:04:42
2
kandi :
mbona audiomack haipo
2026-06-13 12:28:31
1
adawiyya :
yaan haiwez kuchachuka hata sku moja
2026-06-13 11:21:45
2
@fam005# :
Akiwemo simelaaa 😂🥰
2026-06-13 09:53:16
2
Hanna mgora :
dooh🥰
2026-06-13 08:40:26
2
أسماء ❤️🌹 :
Masha'Allah 🥰🥰
2026-06-13 09:08:45
2
Masoud Makame :
ya salaam
2026-06-13 10:18:11
2
zay 🦋 :
sogezen mwez mmoj mbele na wengne tuwepo😂
2026-06-13 09:01:20
2
snaizer23 :
tupe lyrics kk
2026-06-13 11:47:38
2
Hamayda-05tz :
MashaAll. Kaka unajua 🥰
2026-06-13 08:39:46
1
user1061687431321 :
yaa salaam kiyan
2026-06-13 14:05:57
0
mudy msuya :
Allah Allah Allah
mashallah mashallah mashallah baba abdillah
2026-06-13 12:54:00
1
Pembe Wa Pembe 👈 :
inshaalah
2026-06-13 12:59:51
1
MR& MSR Ameer🥰💍🔐💕 :
mashallah 🥰🥰
2026-06-13 14:08:18
1
@Nushrein_salon :
MashaAllah 🥰🥰
2026-06-13 12:19:51
2
Da-popo💙 :
kaimba nani jmn naipenda san hi qaswd
2026-06-13 14:42:18
1
kandi :
hubbu shuhuri kila inapo fika asubuh lazima niisikilize 🔥🔥
2026-06-13 12:21:40
2
To see more videos from user @aseerelhawa, please go to the Tikwm
homepage.