Afanye exportation ya agri product.Afungue kampuni afanye export ya mazao achague either ufuta,kahawa,korosho,mbazi,kaka..na anaweza ku establish semi processing industry.Afanye biashara kimataifa.
yote hayo ni mawazo mazuri
kwani hata mimi ni malengo yangu kwenye hizo nyanja
2026-06-13 08:39:37
0
mkamcha :
madam nakukubari sana kwakuwa unagusa kwenye secta ambayo napambana nayo ila mitaji tu ndio inatusumbua nipo Tunduru
2026-06-13 08:57:57
0
@Avin :
yote mawazo mazuri ila cha kuzingatia ni kutengeneza profite nzuri kingene itampa mwenderezo wa kipato na kingine ni calculated risk kwa kuzingatia ayo yote kukamua mafuta na kuyauza ni better coz demand ni kubwa coz bado tunaagiza lakini malighafi ni rahisi kuzipata ila atapata faida mara mbili atauza mashudu na mafuta pia asante
kama anataka faida isiyo na stres yenye uhakika wa 90% lazima apate faida bas anunuwe mpunga saizi Kisha atauza mwezi wa 12. Ata akiweka yote 300m. kwasasa mpunga una 90k akinunuwa baada ya miezi Kazaa utafika 130k na zaidi ya hapo kwahiyo ni biashara nzuri isiyo na stres kabisa.
2026-06-13 16:00:25
1
PEWI Co Ltd :
kwa experience yangu mashine ya Mchele ni babu kubwa
2026-06-14 08:43:54
0
SIGNALHUB :
thats a solution looking for a problem. look the other way round.
2026-06-13 15:25:51
0
To see more videos from user @faumathy, please go to the Tikwm
homepage.