Mungu ni Mwema Alisha Ahidi kila Mwanamke Ata zaa kwa uchungu nasubilia zamu yangu kwa Imani🙏
2026-06-13 09:00:48
69
nurry@_tz :
Mungu mlinde huyu mototo kwaajili ya taifa 🤲🙏
2026-06-13 09:06:06
19
IPO siku🙏🙏 :
sikuizi kila kitu ni AI
2026-06-13 10:09:36
4
Raoshe girl :
Wakat wa mung ni wakt sahihi,hongera dear😊😊😊
2026-06-13 08:50:40
17
Janeth Frank :
Nataman niipate clip niliyocomment kuwa utapata mtot mwakan mwez w6😭🥰🙏
2026-06-13 09:06:47
13
mariamu629 :
katalelewa kama yai ako🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-13 08:44:01
6
celine🇹🇿 :
hakika Bwana anatenda🥰🥰
2026-06-13 09:05:21
4
Fatma Nurdin :
waooo mungu yu mwema kila wakat
2026-06-13 08:47:24
6
user7866551014902 :
thank you God 🙏
2026-06-13 12:42:38
0
IddieDope :
Wow😁😁😁
2026-06-13 09:16:32
1
Samy💕 :
jman jman jman nalia mimi daa wema wewe😥
2026-06-13 09:02:47
0
Miriam Kadot Baron :
Gods time is the best🥰🥰🥰
2026-06-13 12:21:10
0
Sifa souria :
dream come true 😁
2026-06-13 11:47:39
0
Nanah🍒 :
congratulations darling you deserved this blessing 🩷🩷🩷🩷🩷🩷
2026-06-13 12:50:31
0
amas :
hongera Sana mungu amejibu maombi yako
2026-06-13 08:57:28
6
linkup320 :
10/10 nalipa
2026-06-13 09:20:06
0
charity's :
whozu baba wa taifaa🥰
2026-06-13 09:11:13
4
Grace Kihwili50 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰Asante mungu Kwa kumpa wema mtoto
2026-06-13 08:56:09
4
user9304539580499 :
hadi raha jamani😍 hongera sana M/mungu hakukuzie
2026-06-13 09:03:34
2
Winnie Shamalee :
Hakika nimeamini hakuna jambo lisilowezekana kwa MUNGU ni muda wako ukifika ni hivo tuu🙏🙏
sipati picha hyo furaha uliyo nayo.
MUNGU amkuze vyema.. Hongera sana Wema ❤️❤️
2026-06-13 10:36:17
2
Jully cute 💖 :
mungu anamakusudi yake kamchukua manunu kamleta mtoto🥰
2026-06-13 11:29:30
1
To see more videos from user @otumantozz, please go to the Tikwm
homepage.