Allah akuzidishie Mama angu nimekupenda 🥰🥰 bureeee
2026-06-13 11:48:30
5
Khamis juma :
Kasema kweli walhi 100%
2026-06-13 19:11:45
4
meddy kijazi :
mashaallah mashaallah 🤲🤲🤲🤲 umeongea point sana Allah akujalie kher
2026-06-16 18:18:36
0
ALKANNUBY :
mama maneno yake ni zahabu alihamdullila unatufunguwa
2026-06-13 16:45:32
2
Sea moss zanzibar :
Huwez kumjua tu na huwez kujua maisha ya mtu unaeza kumuona myu Yupo barabarani sabb ni kutafta rizk na bado wanajali na kuthamini majumbn Yao kuna ambao wapo ndani tu lakini ndani hakwendeki
2026-06-14 10:55:14
0
Bamba Boy :
mashaallah darsa nzur 👏👏👏
2026-06-13 16:04:43
1
nailatishaban256 :
Allah atufanyie wepesi sote ambao hatujaolewa tupate waume walio bora na si bora wanaume🤲
2026-06-14 06:31:28
1
sofiamohammad552 :
swadaktah
2026-06-14 09:16:49
0
albatawy :
kila mtu ni mzuri kwa yale macho yake
2026-06-16 06:29:27
0
xau :
insha'Allah pia Mimi nitapata mke mzuri nikizingatia ulivyosema
2026-06-15 15:33:49
0
Cool Man Safari and Excursions :
Shukran upo sahihi sanaaa
M.mungu akubariki
2026-06-14 11:20:53
0
abdulkarim 256 :
mola atutiliye wepesi yarabi
2026-06-15 18:01:45
0
dhannun saleh :
watu wanatafuta katika ngoma anaecheza vizuri
2026-06-13 16:20:18
0
dj love :
ww upo ndani mm naekaje pazia nikuone🥺🥺
2026-06-14 12:01:58
0
al jahadh :
Tumesahau swala ya istikhara
2026-06-15 14:12:11
0
Osman Sabu :
vidada vya Vingunguti na buza
2026-06-13 09:11:50
1
Ibnséíf :
ukweli nkwamba huezijua mtu pka uishi naye
2026-06-14 03:51:57
0
Graphic_designer :
❤️❤️❤️
2026-06-13 16:47:46
0
Djaziba LTD :
👑👑👑
2026-06-14 06:30:23
0
🏊♂️🏄♂️📖😎 :
🙏🙏🙏🙏😊
2026-06-14 08:51:24
0
nzimsafi3 :
I am from Argentina and I like your videos🫡
2026-06-15 17:54:11
0
To see more videos from user @nuru_podcast, please go to the Tikwm
homepage.