@dee_bongolyrics: Hajazaa by Voice Wonder ft Juma Nature Ni miaka sita sasa na miezi kadhaa, nilompenda mpaka sasa hajazaa😭🥺💔💔 #fypシ゚viral #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #bongofleva
dee_bongolyrics
Region: TZ
Saturday 13 June 2026 08:56:35 GMT
Music
Download
Comments
saidy gimenez :
kna nyimbo moja ya voice wonder inaitwa Angelina dah miaka inaenda bhna
2026-06-13 18:56:29
4
Irene Kilenga :
ilikuwa bonge la ngoma
2026-06-13 18:32:05
6
ibrahimu :
kaka unanikumbusha mbali, Kuna hii na Nimpende nani, acha tu.
2026-06-13 19:15:41
4
H M Z T :
wale 2000hawawezi kusikiliza hizo nyimbo hizi ndoo zakwetu🔥🔥🔥🔥🔥🥰🥰🥰
2026-06-13 10:40:07
8
user694417927955 :
la iyo nyimbo na ipenda sana
2026-06-13 20:09:44
2
bf suma top leader :
voice wonder
2026-06-13 10:25:21
2
Yadpay :
🥰🥰🥰enz zetu jaman🥰🥰
2026-06-13 18:02:33
2
Kanunga Kanunga :
sio pouw
2026-06-13 19:36:41
1
Miss__LUCY 💍😍 :
Ndo disco yetu
2026-06-13 19:40:12
1
Baba Tiffah Once again!!! :
kitambo sanaaaa 😄
2026-06-13 09:15:24
1
mrisho Hamisi :
kitambo
2026-06-13 17:50:19
1
issadon2 :
aliacha kuimba akaenda kwenye dini mwanangu
2026-06-13 17:34:13
1
Husna Mayala :
kumbe ni mzur hivi 🥰😅😅
2026-06-13 17:30:55
1
hafsa :
mhh miaka imeenda
2026-06-13 18:12:53
1
Nickson Estomihi Lyimo :
dah
2026-06-13 10:12:49
1
fatuma mohammedi :
hezi izoooo
2026-06-13 19:01:41
0
Halima Njechele :
uko wap ww voice utupe burudan🥰🥰
2026-06-13 15:47:59
0
haidar@ :
mdogo wangu vp voice mbona kimya sana dogo
2026-06-13 19:45:11
0
Sharifa Maumba :
jamani nilikuwa naipenda hii nyimbo kipindi hicho nahisi nipo darasa la pili ama la tatu🙏 afadhari nimeiskia kwa mara ingine
2026-06-13 20:46:13
0
DON MTEI RICH FOREVER :
atimae amepndikaza
2026-06-13 20:25:48
0
sablina mussa :
jina lawimbo
2026-06-13 12:33:24
0
Zaituni Shabani :
mwimb naupend san katik
2026-06-13 10:30:49
1
maua Mohammed :
nyuma ya gazeti
2026-06-13 19:11:55
0
To see more videos from user @dee_bongolyrics, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.