@rfi_sw: Timu ya taifa ya DRC, Leopards hapo jana Ijumaa (Juni 12) ilishiriki mazoezi yake mjini Houston Marekani kuelekea mechi yao ya kombe la dunia dhidi ya Ureno. Leopards iliwasili nchini Marekani Alhamisi ya wiki hii na itashiriki mechi yake ya kwanza ya kombe la dunia dhidi ya Ureno katika kundi K Jumatano ya wiki ijao jijini Houston. Baada ya Ureno, Leopards itacheza dhidi ya Colombia na Uzbekistan. #leopards #worldcup #RDC #FIFAWorldCup2026 #RFIkiswahili
RFI Kiswahili
Region: KE
Saturday 13 June 2026 09:19:16 GMT
Music
Download
Comments
Lubunga Rebeka :
mungu awasaidiye
2026-06-13 21:03:45
2
Bless1233 :
tunawatakia ushi nti
2026-06-13 19:45:13
1
Elie kambale :
2026-06-13 09:48:23
3
B.M.D :
pamoja namungu tutashinda
2026-06-14 15:14:35
0
MARHEGANE EMMANUEL :
Allah awe nasi
2026-06-16 16:29:32
0
angel OG😍 :
mungu atupigiye magoli zamingi
2026-06-16 15:22:50
0
WCB WASAFI TV🖥️🎻📀🎸📞 :
je suis fière d'être congolais🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💯💯💯💯💯💯💯💪💪💪💪💪💪
2026-06-15 14:12:41
0
Maniragena Serije :
Leopard 🐆 🫂
2026-06-13 19:51:53
0
Julie Elizabeth :
mungu kuwa pamoja na wa toto wetu
2026-06-14 19:24:11
1
Justin kasunzu :
bonne chance
2026-06-15 10:43:26
0
Jean Socrate user5226033916724 :
🥰🥰🥰 God blessé
2026-06-14 09:48:31
1
alain key sisto :
Bonne chance nôtre 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2026-06-16 06:12:57
0
Maman Roseline :
Bonne chance a nos leopard
2026-06-15 06:06:05
0
user22105768161551 :
bonne chance pour léopard
2026-06-14 17:26:15
0
Kasoki Odette :
bonne chance les hommes
2026-06-15 10:01:10
0
YAMAN :
la victoire est à nous,léopard où Rien
2026-06-15 11:42:30
0
Justin murhula i5 4 murhulaju8 :
Mungu tushidie
2026-06-14 06:51:44
0
denismuhindo :
allez léopard
2026-06-13 10:06:38
0
AJIRA ZA KWELI :
Léopard
2026-06-14 08:29:27
0
Issa :
kweli tuko bien
2026-06-13 19:01:39
0
Saf Foot Actus. ✅️⚽️🥉 :
Nina furahi sana , kuona kazi yenu
2026-06-13 10:21:28
0
Dj power :
tutahuwa Portugal
2026-06-15 02:40:04
0
grace :
mujikaze
2026-06-15 09:18:23
0
Ebenezer Humbura :
tupo na imani
2026-06-15 09:34:58
0
To see more videos from user @rfi_sw, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.